Unasema?Another day another clean sheet [emoji120]
GGmun [emoji837]
Mbinafsi sana.Kocha amtoe Rashford.
[emoji1787][emoji1787]Kocha amtoe Rashford.
Nitajie kocha gan hajawahi fanyiwa humiliationMasingeli ana usemi gani kuhusu De Zerbi?
Mara hii!!Amrabatt amezoea soka la kutumia nguvu kule serieA. Anatumia nguvu kubwa kuliko akili...
[emoji23][emoji23][emoji23] Eti Brighton hana cha kupoteza wakati tayari ameshapoteza 3points tena kwa kipigo cha mbwa koko.Nitajie kocha gan hajawahi fanyiwa humiliation
Yaan mnamfatilia Brighton mwenye kikos hakizid hata €30m ,wakati 7hag ameunda kikos Cha zaidi ya €400m
Hamuoni aibu
Brighton hana Cha kupoteza
Di Zerbi ameshathibitisha ana uwezo mkubwa kuliko hata 7hag
Trust the processKocha amtoe Rashford.
Huyu kocha atakuwa mpumbavu sana sijui anamugopa? Yaani Rashford na Martial watawafukuzisha makocha wengi sana.
Sasa hivi nikimuona Rashford kwenye kikosi nakasirika sana.
Mkuu nipe link niangalie hii game kama hautajali tafadhaliCasemiro to Saudi Arabia..
Here We Go.
Nilishawaambia tokea pre season, huyu jamaa kiwango chake ni cha kutia mashaka hususani timu inapokuwa na mpira.