Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,630
- 11,096
Rashford ajifunze hata kwa Garnacho au Pellistri namna winger anapaswa kucheza. Uvivu na uchoyo ndiyo vinamsumbua.Mechi inayofata Rashidi na Eriksen wanaanza kama kawa,
Hii timu tokea aondoke SAF Management ilikaa na kushauriana kwa pamoja kua mashabiki wa Man Utd hawapaswi kua na furaha ya kudumu.


Jamie Carragher on Jadon Sancho situation: 






Understand Sevilla wanted him in July and keep tracking him.
| 𝐒𝐡𝐞𝐢𝐤𝐡 𝐉𝐚𝐬𝐬𝐢𝐦 buying #mufc is still “open”. Sources are not commenting on this. 
4-2 vs. Villa