Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Hapo umemalizaKocha atakayeamini falsafa yake.
Ten hag alipaswa ashikilie mpira wake tuliouona pre season dhidi ya crystal palace msimu uliopita hata kama atapoteza alama muhimu baadhi ya mechi.
Ukiwa kama kocha huu si ulimwengu wa kuwaridhisha wachezaji, bali ni kuwalazimisha wachezaji wafuate matakwa yako.
Angalia PSG ya enrique wanavyocheza licha ya kwamba ana miezi mitatu.
Kalinda identity yake.
Mchezaji asiyekufaa muondoe, ndio kanuni ya guardiola
Sijawahi kutoa tusi Kama lipo nioneshe nitaomba nipigwe ban ya mwaka mzimaBro nmeongea na ETH kasema deni lako atakulipa week ijayo.
Kikubwa uache kumtukana kisa buku unalomdai, manake hupoi mzee
Hary Kane ulikuwa uamuz sahihi kunyimwa ,Ni Yale Yale ya casemiroKuwapa kandarasi mpya halikuwa baya kwa sababu timu haisajili sasa angefanya nini kama mwalimu.
Amemtaka Harry Kane kaletewa Hojlund, alimtaka De Jong kaletewa Casemiro, dirisha dogo aliletewa loanee Wachovu wachovu.
Rudi Arsenal we mzee! 😁Rushford mjinga sana.
ajitokeze demu mmoja tu aseme kwamba Rashford amemfanyia violence basi sisi huku hadi Africa tuta msapoti huyo mwanamke kwa mara ya kwanza na picha na video za vidonda tutatengeneza, Rashford ni takataka inayoishi serious
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Klopp ilimchukua misimu mitano kwa Liverpool kupata walau kikombe kimoja tu.
Watu wenye mawazo tofauti na wewe ni kenge siyo ?Hakuna kocha mle Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuaminin uwezo wa 7 Hag jamaa hajui kabisa bolu eti linakuja kenge Moja lenye mavidole marefu linaandika makala ndefu eti wachezaji wa Manchester United kiwango kibovu unajiuliza kiwango Cha wachezaji wa Wolves, Brighton na hawa Burnley ni kikubwa kuliko akina Casemiro, Bruno, ONANA, Hojlund, Luke Shaw, Mactomey huyu ambae national team ni moto wa kuotea mbali, Varane, The butcher, linderlof ambae ni regular starter wa national team, Sancho ambae alikotoka alikuwa wembe mkali sana ifike mahali tukubali kuwa tuna average coach katoka ligi dhaifu kaja ligi ya wanaume kweli, unatoka kushindana na PSV unajiona wewe kocha? Mashabiki wa United tukubali kuwa pamoja na matatizo yetu ya menenimenti lkn hatujapa mwl sahihi huyu ni uozo United ni kubwa kuliko yeye au basi hii mikikimikiki ya EPL haiwezi KAMWE
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Unamzungumzia De Zerbi ambaye katika miezi sita tayari amesajili wachezaji 11 au mwingine ?Hivi mnapata wapi nguvu ya kumtetea huyo mwl wakati alipewa fungu akawaleta Antony, Malacia etc? Kocha wa Brighton ana only six months kibaruani huyu kipara ana mwaka na miezi kadhaa lkn mpaka sasa hatujui anafundisha nini, timu hata pass 10 hazifiki tunapigiwa pass 28 na Brighton OT hadi goli bila kugusa mpira huyu kweli ni mwl wa mpira? Sifa mojawapo ya mwl ni kukuza viwango vya wachezaji je huyo kocha wenu kakuja kiwango Cha mchezaji gani hapo matofalini?
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
BRAZAA nyumbu kanyimwa akili ya kuvuka mto wenye mamba, we si unaonaga wakiwa wana hama pale serengeti, hawawez awa kuku elewa, mbona mda mrefu sana uliwapa factKwa tunaofanya analysis za mechi ,kilichompa mafanikio ETH mwaka Jana Ni
Uimara wa Degea ndio Maana ana cleansheet nyingi Wala sio uimara wa Beki
Kuna mechi zaidi ya 10 ambazo ilikuwa alama zidondoke Lakini ziliokolewa na Degea
Mfano manjesta vs Leicester city ambayo ilikuwa dhoofu , mechi inaisha 1-0 lakin Degea anaokoa Sana .zipo mech Kama hizo karibu 10
Form au Peak ya Rashford, mwaka Jana ndio alikuwa anafikia peak yake katika maisha yake ya soka
Factors nyingine Ni kupotea Sana kwa Liverpool na Chelsea
Kukosekana kwa Degea ambaye Ni best shot stopper ,kurudi default settings ya Rashford,Kurejea kwa Liverpool Basi 7HAG atawekwa uchi msimu huu
Manjesta inavyocheza msimu huu Wala haina tofauti na msimu Jana ,playing style Ni ile ile tofauti Ni hizo factors hapo juu
Kwanini tunataka Ten Hag stoke wakati hata mahitaji yake hapati kwa wakati?
Refa alikataa penalty, leo arsenal wamepewa penaltyAlishika au!
Dah!tuna maadui wengi sanaRefa alikataa penalty, leo arsenal wamepewa penalty