.... bado tu unawategemea pundits wakuelezee ulichokiona?! wabongo bwana!
Naamini hakuna timu inayotaka kupangwa na utd kwenye droo ya kesho, simply kwa sababu they now the underdogs but experienced underdogs.
Ni kweli yanaweza kuwa kama yale ya Liverpool na Chelsea.
Njia pekee ya Man Utd kucheza Champions League msimu ujao ni kushinda champions League msimu huu.
Kama wakielekeza nguvu zao kwenye Champions League kwa kucheza kama walivyocheza jana wanaweza kutwaa kombe.
So, I won't rule them out. Halafu unless UEFA have changed the rules, patakuwa patamu kama Man Utd wakishinda Champions League huku Arsenal au Liverpool wakiwa wameshika nafasi ya nne kwenye ligi. Yaani patanoga.

Ndio nimesema hivi we ulitaka nisemeje.