Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,761
- 15,495
Dah!
Dah!
Mwishoni 3points zinatua kwa man utd7hag anapelekewa Moto Sana View attachment 2759929
Vip chai jaba mbona unakenua hovyo.
Sawa mkuu, ngoja tuoneMkuu mpira ni mchezo wa wazi
Man u mnasubirir miujiza kuchukua points 3
Burnley wanasambaza soka safi kabisa kuhakikisha wanaondoka na points 3
Soma Mara tatu![]()
Upo sahihi mkuu ,Hawa jamaa hawataki kuambiwa ukweli kuhusu 7hag hawez kupambana na modern footballMkuu mpira ni mchezo wa wazi
Man u mnasubirir miujiza kuchukua points 3
Burnley wanasambaza soka safi kabisa kuhakikisha wanaondoka na points 3
Soma Mara tatu![]()
Hilo swali ndilo nilikuwa najiuliza yani kam ulikuwepo kwenye kichwa changuCarrington tunafanya nini?
Sawa but kumbuka mpira wa ujanjaujanja haunaga maisha marefuMwishoni 3points zinatua kwa man utd
Bora wewe umefunguka japo utapokea upinzani mkubwaNAWASHANGAA MNAOJIPA MOYO CHINI YA KIPARA NGOTO TEN HAG.
MSISINGIZIE INJURIES
MSINGIZIE GLAZERS
TANGIA MECHI YA KWANZA. TUNACHEZA KAMA HATUJUI NINI TUNAFANYA.
NO IDENTITY, NO STRUCTURE, NO SYSTEM.
#TENHAGOUT