Kula chuma hiko.It's 2023 John Evans bado anaanza kwenye kikosi cha Manchester
Kiko wapi?Kula chuma hiko.
🤣🤣🤣Kiko wapi?
Mkuu unaangalia hii mechi lakini tayari una matokeo yako kichwani...Evans update version ya magwaya?
Mbona ana haribu mipango
So far Burnley anapiga mpira mkubwa, wanahitaji push forces ya kumaliza game
Clear offside mbona[emoji16][emoji16][emoji16]Epl na VAR zao watakua na ajenda maalumu na United sio bure.
Hawataki mashabiki wa Man Utd tufurahi japo hata kwa sekunde mbili phumbavu zao.
Mkuu mpira ni mchezo wa waziMkuu unaangalia hii mechi lakini tayari una matokeo yako kichwani...
[emoji1787][emoji1787]Ahsante John evans
Dah![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thus why nitaendelea kuamini 7 hag ni kocha wa kiwango Cha chiniView attachment 2759926