Arteta ndiyo unaona ni kocha?
Ten Hag msimu wa kwanza kapata points 75. Arteta katumia misimu 3 kupata points 70+ na hapo alishapewa timu katikati ya msimu kabla. Nyie kwenu kocha kukaa misimu 2 mnacheza upuuzi na miaka 5 bila kombe la maana ni sawa ila ikija kwa Manchester United kocha hafai!!!
Huu ndiyo msimu wa pili wa EtH, EPL tumefungwa mechi 3. Mechi ya Spurs tulicheza vizuri tu. Mechi ya Arsenal tulicheza vizuri pia ila injuries ndiyo zilikuwa zimeanza kudhoofisha kikosi.
Mechi ambazo tuli-struggle kwelikweli ni Wolves na Brighton.
Kwenye UCL tumeanza vizuri ni eneo la defense tu ndiyo linatuangusha. Varane, Shaw hawapo. Bado kocha hakupewa RCB anayemtaka.
Angalia stats za Clown Arteta.
View attachment 2759492