Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna Lord Harry magwaya alafu Kule juve Kuna chuma kinaitwa GATTI

dirisha la kiangazi mlihusishwa nae huyu [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Burnley tunaanza na Mungu na tutamaliza na Mungu, Nguvu moja. Mbele daima, nyuma mwiko.

Come on you @BurnleyOfficial [emoji1491]
 
Mmefukuza Moyes mjalizika

Mmefukuza Van gaal mjalizika

Mmefukuza Mourinho mjalizika

Mmefukuza ole mjalizika

Sasa sio mtafukuza kila kocha sasa.
Pipi ,hivi unadhani fans wote wa manjesta wanaridhika na mpira wa ujanjaujanja?

Fans wengi wakiongea kuhusu ETH mnawaandama ,wamekuwa wakinituma niwasemee maana hamtaki kocha aguswe

Fans wenu wengi hawaridhishwi na pira makande pira magimbi ,wanataka na wao waone mpira uki flow
 
Back
Top Bottom