Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,630
- 11,096
The Dutch, Sir. Alex Ferguson. 🇳🇱
The Dutch, Sir. Alex Ferguson. 🇳🇱
United is back, ETH time.Kwenye maisha ya mashabiki wa Manchester United hii tunaiita "Title Charge Phase" kwetu leo msimu ndiyo unaanza.
Timu yoyote ambayo bado haijacheza na United ijiandae kuachia points 3 na wale wanaosubiri mzunguko wa 2 wajiandae kukutana na dhahma, hasa wale Arsenyani.
Injuries ndiyo zimetuharibia. Soon Amrabat, Mount, Mainoo, Varane wanarudi kikosini. Eneo la kiungo kocha atakuwa na options za kutosha tofauti na msimu uliopita.United is back, ETH time.
tukiacha masihara, mm bado nina imani tutamaliza juu EPL na UEFA ttacheza quarter au semi final.
Never lose hope 😅
GGMU
hao injuries wenyewe VIMEO tu,Man Useless hamna Timu,leo yenyewe MNAGONGWA KENGE ninyi,labda muishangaze mikiaInjuries ndiyo zimetuharibia. Soon Amrabat, Mount, Mainoo, Varane wanarudi kikosini. Eneo la kiungo kocha atakuwa na options za kutosha tofauti na msimu uliopita.
Injuries za Varane na Shaw zimetuyumbisha sana maana wote walikuwa ni tegemeo ku-cover sehemu ya CB.
Mimi naona kabisa msimu ndiyo umeanza. Tutawashangaza!!!
Eti juu EPL na UEFA Quarter Final,kwa Mpira PITIKUPITIKU mnaocheza!!!mawazo mengine ya kingese sanaUnited is back, ETH time.
tukiacha masihara, mm bado nina imani tutamaliza juu EPL na UEFA ttacheza quarter au semi final.
Never lose hope
GGMU
Hehehheee mnachekesha Sana,huyu 7 hag msimu unaanza si alikuwa na kiungo Cha mount casemiro Bruno ,na sub ya kina eriksen , na Shaw ,varane ,walikuwepo mbona mlikuwa bado ovyo tuInjuries ndiyo zimetuharibia. Soon Amrabat, Mount, Mainoo, Varane wanarudi kikosini. Eneo la kiungo kocha atakuwa na options za kutosha tofauti na msimu uliopita.
Injuries za Varane na Shaw zimetuyumbisha sana maana wote walikuwa ni tegemeo ku-cover sehemu ya CB.
Mimi naona kabisa msimu ndiyo umeanza. Tutawashangaza!!!
Naombea leo mpate sare muendelee kudanganyana ,na kocha msimfukuzeUnited is back, ETH time.
tukiacha masihara, mm bado nina imani tutamaliza juu EPL na UEFA ttacheza quarter au semi final.
Never lose hope
GGMU
Nitakuja kusoma comments baadae😂Mimi naona kabisa msimu ndiyo umeanza. Tutawashangaza!!!
Arteta miaka 5 kawapa nini, au nyani haoni kunduleNaombea leo mpate sare muendelee kudanganyana ,na kocha msimfukuze
Maana nilishajithibitishia kocha wenu uwezo mdogo ,hivo napenda kumuona akikaa manjesta hata miaka 10
Sisi hatuongei sana sasa hivi. Kuongea tumewaachia nyie Arsenyani. Nyie ndiyo mna kocha bora na kikosi bora. Ila jinsi msimu unavyoendelea tutajua timu gani inasindikiza wengine.Hehehheee mnachekesha Sana,huyu 7 hag msimu unaanza si alikuwa na kiungo Cha mount casemiro Bruno ,na sub ya kina eriksen , na Shaw ,varane ,walikuwepo mbona mlikuwa bado ovyo tu
Yaan leo ndio uje uamini kuwepo kwa amrabat tu ,maana maino msimuweke EPL mtapigika zaidi, ile mech ya pre season isiwadanganyeni ,EPL sio ya kujaribu makinda hasa eneo la kiungo ,
7hag hata apewe ile Barcelona ya 2009-2012 au AC Milan ya 1992 au Brazil ya 1970 ,bado atapaki Basi asubiri miujiza ,
7hag Hana uwezo wa kufundisha modern football kwenye Ligi Kama EPL
Bora ume-comment mapema baadaye mtapita tu hapa. Leo tunaenda kutoa funzo kwa Kompany na vijana wake.Nitakuja kusoma comments baadae😂
Arteta ndiyo unaona ni kocha? 🤣Naombea leo mpate sare muendelee kudanganyana ,na kocha msimfukuze
Maana nilishajithibitishia kocha wenu uwezo mdogo ,hivo napenda kumuona akikaa manjesta hata miaka 10
Mkuu, huyo jama niwakumpotezea tu na utoto wake.Arteta ndiyo unaona ni kocha? 🤣
Ten Hag msimu wa kwanza kapata points 75. Arteta katumia misimu 3 kupata points 70+ na hapo alishapewa timu katikati ya msimu kabla. Nyie kwenu kocha kukaa misimu 2 mnacheza upuuzi na miaka 5 bila kombe la maana ni sawa ila ikija kwa Manchester United kocha hafai!!!
Huu ndiyo msimu wa pili wa EtH, EPL tumefungwa mechi 3. Mechi ya Spurs tulicheza vizuri tu. Mechi ya Arsenal tulicheza vizuri pia ila injuries ndiyo zilikuwa zimeanza kudhoofisha kikosi.
Mechi ambazo tuli-struggle kwelikweli ni Wolves na Brighton.
Kwenye UCL tumeanza vizuri ni eneo la defense tu ndiyo linatuangusha. Varane, Shaw hawapo. Bado kocha hakupewa RCB anayemtaka.
Angalia stats za Clown Arteta. 🤡
View attachment 2759492
mhm kumbe miaka 5 ni michache tu, mbona naona kama jana tu.Arteta miaka 5 kawapa nini, au nyani haoni kundule
hamna cha kuongeaSisi hatuongei sana sasa hivi. Kuongea tumewaachia nyie Arsenyani. Nyie ndiyo mna kocha bora na kikosi bora. Ila jinsi msimu unavyoendelea tutajua timu gani inasindikiza wengine.
Hiyo mitano ulimpa wewe , juzi mwenyewe kasema ana miaka mitatu na nusu ,Arteta miaka 5 kawapa nini, au nyani haoni kundule
Arteta ana miaka mitatu na nusu ,anasema. Hivo ili ionekane kaa mingimhm kumbe miaka 5 ni michache tu, mbona naona kama jana tu.