Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FB_IMG_16953204486877543.jpg
 
Habari nazopenda kusikia

| A group of #mufc's first-team players disagree with Erik ten Hag's decision to banish Jadon Sancho from the squad. [@talkSPORT]
Niliandika
"10 hag asimame Kama baba kwenye hili, mtoto akinyea mkono hatuukati.."

10 hag hayupo kwenye position ya kuvimbiana na wachezaji
 
Niliandika
"10 hag asimame Kama baba kwenye hili, mtoto akinyea mkono hatuukati.."

10 hag hayupo kwenye position ya kuvimbiana na wachezaji
Anavuna alicho kipanda, baada ya kupigwa 7 na Liverpool wale wachezaji wote waliocheza wasingeanza mechi iliyofuata then wauzwe wote kwenye TW, cha ajabu yeye aliwa praise na kuwaanzisha tena mechi iliyofuata hii inawapa confidence na kuona kama kupigwa 7 ni kawaida na kwamba kocha hawezi wafanya lolote.

Ukimchekea sana nyani utavuna mabua
 
Niliandika
"10 hag asimame Kama baba kwenye hili, mtoto akinyea mkono hatuukati.."

10 hag hayupo kwenye position ya kuvimbiana na wachezaji
Mpaka Sasa nimethibitisha 7+3hag hata akipewa miaka mitano hawezi kubadili playing style sababu hawez kufundisha au kiufupi uwezo mdogo

Ataendelea kugombana na wachezaji lakin ukweli mbinu zake ni outdated

Believe me ataendelea kushinda kwa kubahatisha tu ,but timu zinazojitambua hazitakubali kufungwa na timu isiyoweza kukaa na mpira

Nashawishika hata Burney anaenda kuokota points
 
Aaaah barobaro boys vijana wa bwanyenye glazer tunashuka leo tena kutoa burudani kabambe Sana.

Manchester United is playing today and whole world is happy

My prediction

Burnley 1 vs Manchester United 3

4:00

Turf moor

Haters wataumia Sana leo

Kama unaona Burnley watashinda kawabetia mtaji wako wote sio kupiga kelele hapa.

Tutachapa
Tutauaa
Tutachinja

Ndo tunaanza sasa Wenger orphans na vibonde vingine mnaanza kutupisha hapo juu sio muda.

GGMU
1695389939057.jpg
 
GGMUView attachment 2759177
 
Crying is over.
Kilio sasa basii
Kwenye maisha ya mashabiki wa Manchester United hii tunaiita "Title Charge Phase" kwetu leo msimu ndiyo unaanza.

Timu yoyote ambayo bado haijacheza na United ijiandae kuachia points 3 na wale wanaosubiri mzunguko wa 2 wajiandae kukutana na dhahma, hasa wale Arsenyani.
 
Back
Top Bottom