hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Kihalisia huna Timu ya kuweza kupiga walau pass 10 kwa usahihi,Kwa siku nyingine tamu[emoji38] kabisa vijana barobaro sisi tunashuka Tena leo kuonyesha makali yetu watapigwa Sana waleee.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
My prediction
Bayern Munich 1 vs Manchester United 2
[emoji355] 4:00 usiku
[emoji2522]Allianz Arena
Kauli mbiu yetu [emoji38]
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Pain went straight to Wenger orphans and cheltako livap*mbu
Itakuwa tu ni rahaa wakubwa[emoji38][emoji38]
GGMU[emoji3590][emoji3590]View attachment 2755501
Matokeo ya leo
Baryen 4 manjesta 0