Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mtoto wa Erik ten Hag ameajiriwa katika kampuni ya uwakala ya SEG ambayo imefanya biashara nyingi zaidi Old Trafford msimu huu wa joto.

SEG ndio imemleta Rasmus Højlund na Sofyan Amrabat, na walihusika katika mazungumzo ya kutaka kumuuza Harry Maguire.

[@MattHughesDM]
 
Mtoto wa Erik ten Hag ameajiriwa katika kampuni ya uwakala ya SEG ambayo imefanya biashara nyingi zaidi Old Trafford msimu huu wa joto.

SEG ndio imemleta Rasmus Højlund na Sofyan Amrabat, na walihusika katika mazungumzo ya kutaka kumuuza Harry Maguire.

[@MattHughesDM]
Yani ten Hag na mwanae ndio walijifanya wajanja kutaka kumuondoa Maguire ili wapige pesa😃

Halafu West Ham walifika mpaka £30 mil, ten Hag na kampuni yake wakaona haitoshi mpaka waongeze pesa apewe mtoto wake.

Ndo mana Maguire beki wa mpira akagoma ili aendelee kula maokoto mana zingekua dharau!
 
1695131709895.png
 
Manjesta pambaneni ,mwakani kucheza UCL Kuna viti maalumu

Next year, the Champions League will have two more slots for the two best-performing leagues in 2023-24. According to @TwentyFirstGrp these are the percentage chances for each league:
PL 91%
Serie A 43%
Bundesliga 37%
Liga 17%
Ligue 1 7%
Other 5%
 
Hii Timu mkiendelea na huyu kocha ,mwaka huu mtashika nafasi za ajabu


7hag nimemuona Ni kocha wakawaida Tena ,juzi aliulizwa kuhusu mechi vs Arsenal

Anasema alicheza vzr Sana

Akaulizwa mechi vs Brighton anakwambia alicheza vzr


Huyu kocha Kama hizo mech anatafsiri alicheza vzr Basi kazi mnayo

Kwanza anaonesha Pira papatupapatu ndio Playing style yake
 
Hiki kikosi Cha Brighton kilipiga pass 30 bila mchezaji wa manjesta kugusa ,Hadi likapigwa goli

Nini unajifunza?

Kocha wa manjesta Hana mbinu
Timu haina playing style ya kueleweka
Timu haijui kukaba


Matatizo haya Ni uwezo mdogo wa Benchi la ufundi ,sio Grazzer family
20230919_102000.jpg
 
Kesho mkipona Sana

4-0

Kwa Timu ambayo haiwezi kukaa na Mpira na kocha anaona ndio falsafa
20230919_234056.jpg
 
Hiki kikosi Cha Brighton kilipiga pass 30 bila mchezaji wa manjesta kugusa ,Hadi likapigwa goli

Nini unajifunza?

Kocha wa manjesta Hana mbinu
Timu haina playing style ya kueleweka
Timu haijui kukaba


Matatizo haya Ni uwezo mdogo wa Benchi la ufundi ,sio Grazzer familyView attachment 2755232
Arsenal pia alipigwa 3 bila Emirates na huyo huyo Brighton.
Screenshot_20230920-000936_Flashscore.jpg
 
Tuchel: “At United, it’s common for small things to become more important than at other clubs”.


“I feel like at United there's always a lot of noise, a lot of consultants in the UK are ex-players. The legacy of Sir Alex creates a lot of pressure and of expectations”.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230920_003616_096.jpg
 
Kobbie Mainoo, Mount & Varane are back in training. Amrabat is training away from the main group.


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230920_003430_788.jpg
 
Manchester United are planning to sign Serge Gnabry or Kaoru Mitoma to replace Jadon Sancho.



[Ekrem Konur]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230920_003421_062.jpg
 
Betting favourites to win the UCL.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230920_003358_906.jpg
 
Manchester United’s staff are concerned by the increasing influence of Erik ten Hag's agent Kees Vos over transfers, with his agency behind the transfers of Rasmus Højlund and Sofyan Amrabat.

Kees Vos’ Sport Entertainment Group have become the go-to agency in negotiating player signings and sales for #mufc , as well as providing informal advice on the transfer market – Ten Hag’s son Nigel also works for the agency as an analyst.


[Daily Mail]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230920_003328_679.jpg
 
Pep Guardiola: “They didn’t start like they expect. Manchester United with Chelsea sooner or later will take the rhythm.”

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230920_003252_244.jpg
 
Four Manchester United players were involved in a furious dressing-room bust-up after Saturday’s defeat to Brighton. Bruno Fernandes confronted Scott McTominay, while Lisandro Martinez and Victor Lindelof also lost it with each other.

[Sun]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230920_003236_111.jpg
 
Ten Hag on whether Marcus Rashford can adapt to help Rasmus Hojlund: "Absolutely, and how the two can take benefit from each other. But they have to know each other and that process has just started. I'm sure they can get that connection."

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230920_003212_879.jpg
 
Back
Top Bottom