Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,111
- 16,161
Yani ten Hag na mwanae ndio walijifanya wajanja kutaka kumuondoa Maguire ili wapige pesa😃Mtoto wa Erik ten Hag ameajiriwa katika kampuni ya uwakala ya SEG ambayo imefanya biashara nyingi zaidi Old Trafford msimu huu wa joto.
SEG ndio imemleta Rasmus Højlund na Sofyan Amrabat, na walihusika katika mazungumzo ya kutaka kumuuza Harry Maguire.
[@MattHughesDM]
Halafu West Ham walifika mpaka £30 mil, ten Hag na kampuni yake wakaona haitoshi mpaka waongeze pesa apewe mtoto wake.
Ndo mana Maguire beki wa mpira akagoma ili aendelee kula maokoto mana zingekua dharau!