hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,293
- 26,695
Basi mkipigwa msisisngizie 7hag hasapotiwi kwenye usajiliTatzo liko wapi tukiwasajili
Maana Hadi kaamua kuwa dalali
Basi mkipigwa msisisngizie 7hag hasapotiwi kwenye usajiliTatzo liko wapi tukiwasajili
Kihalisia huna Timu ya kuweza kupiga walau pass 10 kwa usahihi,Kwa siku nyingine tamukabisa vijana barobaro sisi tunashuka Tena leo kuonyesha makali yetu watapigwa Sana waleee.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Bayern Munich 1 vs Manchester United 2
4:00 usiku
Allianz Arena
Kauli mbiu yetu
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Pain went straight to Wenger orphans and cheltako livap*mbu
Itakuwa tu ni rahaa wakubwa
GGMUView attachment 2755501
Baryen 4 manjesta 0GGMU
Wewe si ukishapigwa marufuku na nyumbu wenzako kuhusu hizi tabiri zakoKwa siku nyingine tamukabisa vijana barobaro sisi tunashuka Tena leo kuonyesha makali yetu watapigwa Sana waleee.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Bayern Munich 1 vs Manchester United 2
4:00 usiku
Allianz Arena
Kauli mbiu yetu
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Pain went straight to Wenger orphans and cheltako livap*mbu
Itakuwa tu ni rahaa wakubwa
GGMUView attachment 2755501
Tuache mwanang, timu yetu, kivyetu vyetu.Basi mkipigwa msisisngizie 7hag hasapotiwi kwenye usajili
Maana Hadi kaamua kuwa dalali
😂😂😂😂😂😂😂😂 13 years later hali hii inaenda kujirudia.Man U kipindi cha pili imebanwa, yaani Bayern ilionekana kama inacheza na timu ya daraja la pili..lol
Kwahiyo bado una Iman ya kushika no.2Tuache mwanang, timu yetu, kivyetu vyetu.
GGMU, ETH is cooking we're coming back stronger


Hata kupiga pass 10 hamuwez,Acha uchawi kijana. Bayern anapasuka chuma 2 kavu leo
Hata Kama Ni Imani , ila yako Ni fekiUsiku nimeota tumempiga Bayern chuma 2
Usikimbie tu, mngekuwa na uwezo hata wakukaa na mpira dk 5 ningewabetiaLeo Bayern anapasuka screenshot hii comment chuma 2
Usikimbie tu, mngekuwa na uwezo hata wakukaa na mpira dk 5 ningewabetia
Brighton aliweka kikos B ,mkasafa ,baryen ya Harry Kane anaweza toka na hattrick
Mpira wa ujanjaujanja kwasasa hauna nafasi ,mtapigwa Hadi na kina Burney ,View attachment 2755668


Masingeli leo tukishamdunda Bayern nyumbani kwake tunakuomba usije na ngojera zako humu za "Bayern msimu huu ni mbovu" kumbuka tu kua leo Bayern anacheza na Mbogo aliyetoka kujeruhiwa hivyo hasira zote leo zinaangukia kwake. 
















Mbona Maguire beki la dunia hayupo na timuTRAVELLING SQUAD FOR BAYERN
Goalkeepers: Altay Bayindir, Tom Heaton, Andre Onana, Radek Vitek.
Defenders: Victor Lindelof, Lisandro Martinez, Sergio Reguilon, Diogo Dalot, Jonny Evans.
Midfielders: Bruno Fernandes, Christian Eriksen, Casemiro, Facundo Pellistri, Scott McTominay, Dan Gore, Hannibal.
Forwards: Anthony Martial, Marcus Rashford, Rasmus Hojlund, Alejandro Garnacho, Omari Forson.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2755722