Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukisoma comments za Mashabiki humu moyo unajaa majonzi na kuhisi timu inashuka daraja, ila ukiingia kwenye jukwaa la Chelsea na kusoma comments za mashabiki wao unajikuta unatabasamu na kuhisi kama vile sisi tunaongoza ligi
poleni sana ndugu zangu wa Chelkenge nimejaribu kuvaa viatu vyenu lakini hata vidole tu vimeshindwa kuingia.


 
Naona kocha ameamua kupiga nyeto
 
Jamaa Wana Hali mbaya nimeangalia mechi Yao leo Wana average players wengi Sana , shida Yao sio kocha Ni maturity ya wachezaji wao

Angalau wao wanaweza kukaa hata na mpira tofaut na manjesta ya 7egg
 
Shida ya Man u niliiona kuanzia pre season, mechi zote ambazo Kobbie Maino alianza tulishanda ila alipoumia tu toka hapo tukaanza tia maji. Nina hakika dogo angekuwepo angeimarisha sana kiungo yetu. Halafu ni kwa nini kila msimu timu yetu inakuwa na majeruhi wengi hivyo? Hili nalo ni lakutizama.
 
 
Erik ten Hag insists Manchester United are not in crisis and says they can turn things around if they stick to the plan.


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨

#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙

#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏

#𝙂𝙂𝙈𝙐


man utd |
 
Kuna Goli mlipigwa na Brighton,aisee zilipigwa pass 30 bila mchezaji wa manjesta kugusa mpira , pass ya 31 goli


Di Zerbi ana dharau halafu anajiamini

Alianza na kikosi bila

Estupinan
Evan Ferguson
Bill Gilmour
Ansu Fati
Enciso
Pedro


Hao Ni key players .
 
Hata wangeletwa

Iniesta Bosquet Xavi katika ubora wao

Kama kocha Hana mbinu za kuwafundisha ,mtapigwa tu

Kocha wenu anafundisha mpira wakizamani au niseme hawez kuendana na soka la kisasa

Mpira wake ni kuvizia kaunta

Msikilize Di zerbi anachosema hapa



Roberto De Zerbi on playing at Old Trafford:

“I don't want to be a tourist. We want to play in the right way, we want to win. The DNA of Brighton is to try to win playing well, keeping the ball.”
 
Nyumbu mbona Bado hamjasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…