Katakua kamezimia huko kaliko, kalikuja kasi kila habari kanaijua
Usikajibu hako kapumbavu, kanachoshindwa kuelewa nikwamba tatizo lipo kwa wamiliki na hata ukisema ukaelezee ni kwanin? Wamiliki wanaplay part kubwa kuimaliza hii club still hakatoweza kuelewa chochote.Tatizo si kocha...
Hawez kurudia ile miracle ,tulisema kwa uchezaji ule hauna maisha marefuHii presha yakufungwa 10hag asipoweza kui handle basi ndani ya mechi 10 zijazo zitaamua hatima/fate ya kibarua chake ndani ya team... Afanye ile miracle ya last season worst start then tuka click upon gameweeks goin 7-10 gm/w tuko top 6
Walikuandama Sana mkuu, ukweli mchungu ETH hata kwa Ole anazidiwaKuna kale kachambuzi koko bingwa wa kutukana matusi mnaposema ukweli sijui kamefia wapi,
Sometimes tunatakiwa kuweka unazi pembeni na kuzungumzia uhalisia, ten hag hawezi kutufikisha popote, mara 100 David Moyes (najua hapa hamuwezi kukubali but time will tell)
Matusi mliyokua mnanitukana kipindi cha pre season yaleteni tena, ten hag asipofukuzwa tutakua na bahati sana kumaliza ndani ya kumi bora.
Kituo kinacho fuata ni kufirimbwa na bayern
Tulia masingeli
@allypipi jinsi alivyo na kichwa kigumu, kesho kutwa atakuja na prediction za nyumbu vs BayernNikiwa kama mwenyekiti asiye wa kuchaguliwa wa thread hii..
Natamka rasmi kumzuia bwana allypipi kuwa mtabiri wa mechi zetu kwa msimu huu.
Nafasi yake itazibwa na mwenyekiti mpaka pale atakapopatikana bwana kalimanzila mwengine.
16/09/2023.
Nakala:
wafuasi na wanachama wote wa hii thread.
Katibu mkuu fuentte
Mwenyekiti mstahafu Belo
Waziri wa stress Darmian
Polen sana ,badilishen kocha kwanza , Grazzer family Wana madhaifu but wangeweza kufichiwa na Kocha ,Tulia masingeli
hii nakala ya barua naomba umfikishie popote alipojificha muda huu.@allypipi jinsi alivyo na kichwa kigumu, kesho kutwa atakuja na prediction za nyumbu vs Bayern
Ndugu yangu kumbe naww upo kwenye huu uozo?Mwaka huu ni top 5
hii nakala ya barua naomba umfikishie popote alipojificha muda huu.
kamati imeshaamua kumuondoa katika kazi yake ya utabiri.
enough
haiwezekani unacheza na brighton halafu unatabiri mechi huku ukiwa unacheka
hii kazi ya utabiri wa mechi zetu nitaifanya mimi mwenyekiti wenu