Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man utd Tatizo sio Kocha Tatizo ni Uongozi Wa Juu, wanan'gang'ania Aina ya Wachezaji ambao inaonekan kabsa Ni Project iliyofeli.
Siku uongoz utakapo toka ndipo watakapo amini ubovu upo hapo badili wachezaji unaowataka makocha unaowataka kwa amount unayotaka still you wont solve man utd's problem

Its start with the poor management hierarchy
 
Yani eti Raya anakaa bench Arsenyani sisi huku tunateseka.
 
De Gea aliikoa sana Manchester United but Ten Bichwa akamuona Fala haya cha 3 hicho 2 matches 6 goals conceded
 
Hua mnanicha hoi msivyochoka kuamini kua kupaki basi na kucounter siyo game plan.
 
Kweli man utd tumekuwa timu ya ajabu sana kutoka kwenye forward ya End Cole, Tedy, Ole guna, Folan, Tevez, Rooney , Ronaldo eti leo tuna Martial na Rashford yaani hawajui hata wanatafuta nini kwenye soka ukiwatizama hata sura zao.
eti ukiwatazama hata sura zao.
 
Hata msimu ulio isha tulianza hvhv kwakufungwa hivyo tutarudi kwa kasi ya 7g ili kuitafuta top 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…