Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mchezaji yeyote akiwa Brighton ya sasa ni tofauti.
Hata akienda Maguire, nina uhakika mtaenda kumnunua tena kwa £100 mil.[emoji23]

Kama unabisha kamuangalia Caicedo wa Chelsea! [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et Caceido
 
VAR itafanya mashabiki tuache kushangilia magoal sasa maana mkifunga goal unakuwa na wenge wenge tu.
Brighton Leo wamewawekea wachezaji wa kawaida Sana sababu wana Europa alhamis

Di zerbi kawadharau Sana halafu bado mnawashindwa

Brighton's starting XI against Manchester United includes:

Steele: £0
Dunk: £0
Dahoud: £0
Lallana: £0
Welbeck: £0
Veltman: £0.9m
Mitoma: £2.4m
Gross: £3.1m
Lamptey: £1.5m

£7.9m for nine players.
 
Hamna ile Midfielders ya ku-battle epl
Mkiwa na game plan Kama mlivyocheza na arsenal, hii game mnawakamata vizuri tu

Kupisha na Brighton ni hatari sana, Mara kumi upishane na arsenal
 
Onana kwenye shot stopping na reflexes hawezi kumfikia De Gea miaka 100.

Onana kwenye timu yenye defence na midfield kama United ipo siku mtamkumbuka De Gea.

Mimi sikubaliani na De Gea kuwa #1 msimu ujao ila Onana siyo kipa sahihi wa kucheza United kwasasa.
Hahaha!
 
Wachezaji hawako serious, kocha mpaka uongozi. Mtapigw amagoli moaka akili ziwakae sawa
 
Back
Top Bottom