















ETH is cooking, OGS na JOSE tuliwaelewa mwanzoni then mwishoni wakatuchanganya. ETH mwanzoni anatuchaganya, tutaelewa baadaeTen Hag: “My decision is based on Jadon Sancho is only based on principles”.
“That’s not about me. This is in favour of the team, my decisions are always based on that”.
“My answer on Sancho after AFC game? I am always honest”.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |
kikosi Cha watu wazima kinashuka leo kutoa burudani kabambe Sana majirani wote karibuni sana mpate burudani.


11.00 jioni
Old Trafford

ETH is cooking, OGS na JOSE tuliwaelewa mwanzoni then mwishoni wakatuchanganya. ETH mwanzoni anatuchaganya, tutaelewa baadae





Leo mtasafa , Brighton wanapenda Sana kucheza na wapaki basiNi siku nyingine tena ya kupata ngarambe Safikikosi Cha watu wazima kinashuka leo kutoa burudani kabambe Sana majirani wote karibuni sana mpate burudani.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Manchester United 2 vs Brighton 1
11.00 jioni
Old Trafford
hawa watoto tutachapa Sana leo
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Aaaah hakika kitawarambaView attachment 2750708
ETH is cooking, OGS na JOSE tuliwaelewa mwanzoni then mwishoni wakatuchanganya. ETH mwanzoni anatuchaganya, tutaelewa baadae




Aisee I will be there no matter whatLeo tunashinda! Nashindwa kuelewa kwanini watu wana wasiwasi.
Tusiposhinda na-deactivate account.
DrawNi siku nyingine tena ya kupata ngarambe Safikikosi Cha watu wazima kinashuka leo kutoa burudani kabambe Sana majirani wote karibuni sana mpate burudani.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Manchester United 2 vs Brighton 1
11.00 jioni
Old Trafford
hawa watoto tutachapa Sana leo
Pigaaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaa
Chinjaaaaaa
Aaaah hakika kitawarambaView attachment 2750708






