Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Your browser is not able to display this video.
 
Nimeangalia mechi ya leo sikutegemea kama vijana wangejitahidi kiasi kile wamecheza vizur kwa upande wangu sijaona baya huyu Rasmus Højlund ana kitu Tusubiri Amrabat tuone ila narudia Rasmus Højlund ana kitu goli la ganacho lilikataliwa alifanya muunganiko mzur sana
 
Kuna mpya gani Unyumbuni? View attachment 2738099
Hii sasa haitakua nzr kwa Dressing room.

Nan anazungumza kwl ndo changamoto mpr umekua wakurushiana kama rede kwny hii saga.

Ten hag awe makin hawa wachezaj wa sik izi kukuuza kocha wafanye mgomo bard ni sekunde tu unafukuzwa.. Sancho hapo akikamata na Makame(Rashford) mmalikia mwenzie wakajazana ujinga lzm ten atakua mbuzi wa kafara siku ya sherehe.
 
kongole mkorea hapa umeongea kama shabiki wa kweli wa soka sio ndugu yako Masingeli yeye ni kukandia mwanzo mwisho.
mnataka kusifiwa ujinga enhee

Mpira mwingi mmecheza kwenye zone yenu tu ,Hakuna zaidi ya hapo Kuna muda ilifika walionesha mmeingia box la Arsenal mara 2 tu

Yule onana atatobolewa Sana ,
 
ni sawa kocha kusema hadharani kuhusu sancho vile ? na nikosa sancho kujibu hadharani ?
Ni Sawa kabisa

Sababu sancho hapangwi mara nyingi na kaona afunguke

Ten Hag Ana shida sana niamini mimi

Yale maneno aliyaleta kwa klopp kabla hatujawatandika saba manyu

Nkajua hamna mtu hapa
 
Okey
But so far ten hag anaweza akafanya vizuri kuliko pochetino ambae unamkubali, kila siku unawaambia Kenge wampe muda

Nilichokiona kwa ten hag ni aina ya makocha wazuri kutafuta matokeo
Ten hag ana u-jose Mourinho flani hivi kwa mbali
Pochetino anaangusgwa na eneo la GK ,na average players wengi , ukiangalia anacheza kwa mipango kuliko 7hag

Manjesta ukiacha Onana anayewafanya angalau wapige pasi 2 tatu, wakifika eneo la kiungo hawawez kutawala mechi hata kidogo ,

Arsenal tulijua ku press onana Ni kupoteza muda tukawa tunawasubiri wavuke zone ya kiungo tuchukue Mali

Wamepiga pass 200+ kwenye zone Yao ya backline na ndipo walipopata possession, eneo la Kati walivurugwa na £105m
 
Kama unaona vile mmejitahidi Basi bado mna safari ndefu
 
Goal Expectation

Halafu mtu anakwambia anarudhika na walivyocheza


Arsenal (2.53) 3-1 (0.98) Man Utd
 
Pass 200 zimepigwa eneo la Beki

"Man utd mfumo wanaotumia ni kumwambia Onana piga mpira mbele mtafute Rashford aangalie namna ya kufunga goli"

Ian wrighty
 
Oho Arsenal akicheza double 8 ya Øde na Kai tutawafunga nyingi


 
Arteta: People who train well will get the chances they deserve.

7 Haag: Sancho did not play because he didn't train well.

The same message, delivered 2 different ways.

This is what happens when you are emotionally intelligent.
 
Tumepoteza 3-1 bro, hakuna positivity yyte ukisha poteza, tutaendelea kujifariji mpaka lini? Mwenzetu wanaondoka na point tatu si tunapiga ndulu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…