Kosa kubwa kocha alilofanya ni kuwaingiza Maguire na Evans wacheze kwa pamoja kwenye mechi yenye uzito Kama hii wakati hawajai kucheza mechi hata moja.
Kwa kiungo chetu cha leo nacho kimetuua Sana kumchezesha casemiro na ericksen uwaga mechi uwa ngumu sana upande wetu na ukicheki sub amna watu wakusema wataingia kupokea kiungo.
Wan bisaka jamaa kawa wa moto sana kocha afikie wakati kuwa kwenye mechi kubwa na ngumu Antony awe ana muacha amalize dk jamaa akitoka tuna tingwa Sana.