Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
😂 Kweli kabisa leo sijaangalia mechi. Nilitaka kushawishika kuangalia (nalipenda sana chama langu) ila huo muda wa kuangalia upuuzi leo sina.Zima hiyo TV bwanaaa
Labda siku Antony akianzia bench ndiyo nitachungulia kidogo. Kumpanga Antony kila mechi ni kudhoofisha timu. Imagine kila mtu Duniani anajua Antony hapaswi kuanza ila kila mechi yupo. Wachezaji wenzie lazima waone siyo haki.