Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chai .
 
Najaribu kutafakari Imekuwaje dortmund ni ya 9 na Psg ni ya 15
 
Niliwahi sema hapa ,makosa anayofanya kocha wenu ,mtakuja kuwalaumu Grazzer family
Hapa hatuzungumzii makosa ya kocha tunaongelea sajili zaidi haiwezekani timu imefuzu Champions League tulategemea hata sajili 6-7 za kuongeza nguvu ila tumeishia 3 tena moja ya kipa.

Wanasingizia timu iuze wachezaji ndio isajili wakati ipo capable kusajili bila kuuza kutokana na mapato yake basi wanasambaza propaganda kwa media.

Kocha nitamlaumu kwa sajili ya Antony na Mount tu ila kwa Hojlund ni makosa ya watu wa juu waliofahamu kwamba majeruhi ila wakapiga sanctioning.

Glazers hawakwepi lawama kabisa hapa
 
Luke Shaw kati ya wapuuzi ambao sijawahi kuwaelewa hata wacheze vipi,nishawahi kuwaambia fans wenzangu kuwa Shaw hata maajabu huwa anakamia akiona namba yake ipo kwenye risk
l
Last season katafuta alichokuwa anakitaka mkataba mpya na mshahara mnono sasa ni muda wake wa kurudi default version ya yule aliyekuwa anawekwa nje hadi na Brandon Williams.

Kaanza na majeruhi sasa ngoja arudi uwanjani mtajionea
 
Kabla ya kuongeza sajili 6-7 ,jiulize kwanza je Kocha kawaongezea Nini au kuwainua viwango baadh ya aliowakuta

Ni Kuna shida Mahali hasa management na bench la ufundi ,haiwezekani leo Sancho aliyekuwa anaenda kuwa world class player pale BVB awe Kama Dikson ambundo , mchezaji Kama Mactominay, Fred , kocha kashindwa ku utilise ubora wao , Ni muoga pia kuwapa nafasi makinda , last season kila mechi wachezaji hao hao iwe Carabao au FA au Ligi, Degea kadaka michuano yote , Casemiro kachafua michuano karibu yote ,

Hapa fatigue lazima iwakumbe tu,

Hii iliwakuta Liverpool walipopigania mataji manne kwa kikosi hiko hiko ,plus umri wa wachezaj ,msimu uliofata hata kukimbia wakawa hawawezi ,

Takwimu zinasema mpaka Sasa mount casemiro na Bruno ndio viungo wanaopitwa kirahisi



Wachezaji 6-7 hapo unazungumzia timu nzima kabisa ,kitu ambacho sio afya kwa timu Kama manjesta

Kuna kasumba mmemezeshwa Baadhi ya wachezaji ni wabovu na hawafai kuchezea manjesta ,sababu kuu ninayoiona kocha ameshindwa kuwainua viwango Baadhi ,ukichanganya na sajili za Mwaka Jana na mwaka huu tayari unaanza kupata timu shindani

Lakin tujiulize why mpaka Sasa bado kocha ana struggle ku install playing style yake , why sajili zake nyingi hazina malengo ya muda mrefu au kuingia moja kwa moja first eleven na kutoa impact

Kuna wachezaj wengi wazuri Kama Olise , Eze , Tielemans , waliokuwa wanapatikana kwa Bei za kawaida tu

Angalia Sasa mnaenda kusaka backup GK kwa €15m ambaye Hana uwezo wakumzidi Matej au Heaton ,

Grazzer wao wana approve pesa zitumike wakiamin watapunguza lawama lakin ndio Kama zinazid

Kocha unawezaje kuruhusu kitu Kama hicho

United fans love blaming the Glazers but they’ve gave Ten Hag £400m in two seasons and the squad is arguably worse/just as bad as when he took over
 
Haya madini unayowapa ilibidi uwe unalipwa

Ila walivyokua vichaa watakuja kututukana Kule the Gunner
 
Achana na Sancho mimi sijazungumzia yeye hapo kuna vilaza wapo tangu wakati Ole anafika ila hawabadilikagi.
Mbona hata Nicolaus Pepe alikuwaga hatari zaidi ya Sancho nini kikamkuta


Kuna wachezaji kocha hawezi kuwapandisha viwango hata iweje mmejionea kwa Arsenal yetu hivi mbali na Xhaka nani ambaye Arteta kamkuta na kumuinua kiwango.

Arsenal yenu pia ilibadilika mazima baada ya wachezaji 10/11 wa first 11 kuwa ni maingizo ya Arteta.

Hata Klopp asjngetoboa na wale akina Allen,Moreno,Can,Clyne,Skrtel,Benteke n.k Liverpool ilikuja kutawala baada ya wachezaji wa first 11 9/11 kuwa maingizo yake.

Sio kulazimisha kupambana huku una average players ambao hawapati namba timu yoyote ya top 6.

Tuache kuwapa makocha majukumu ya kisenge wao sio Magicians ni tuwape nafasi ya kuweka wachezaji wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…