Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo CF kila mpira atakuwa anapewa yeye tu, hiyo ni dhana potofu

Chelsea ya Conte ilionekana inahitaji a CF tu iwe timu isiyofungika , akaletwa lukaku kwa£97.5m , unajua kilichotokea
 
Ila Mount kama 8 big no,kama kocha anataka aone matunda yake ampeleke RW maana 10 ipo occupied,ampelekr kule ili amfaidishe Hojlund akirudi,sina imani na Antony ana mambo mengi.

Asajili kiungo wa kucheza double pivot na Casemiro kabla hajachelewa.

Kuhusu stats moja kwa moja Mount siwezi kumlaumu maana hata Btuno huwa anapata tabu kucheza na zile takataka za pale mbele.
 
Huyo CF kila mpira atakuwa anapewa yeye tu, hiyo ni dhana potofu

Chelsea ya Conte ilionekana inahitaji a CF tu iwe timu isiyofungika , akaletwa lukaku kwa£97.5m , unajua kilichotokea
No Conte hajafanya kazi na Lukaku Chelsea ama unasema Morata
 
Hongereni Man u kwa kweli mmecheza vizuri sana ila ushindi haukuwa upande wenu.

Mmekandwa na maji ya baridi kipigo takatifu. Next time utashinda kwa kishindo dhidi ya not ferest baada ya hapo una Arsenal then brighton
 
Wakishindwa kuokota point kwa forest wajiandae kuburuza mkia mwez huu, sisi Kama Arsenal hatuna dogo pale home, Brighton shughuli Yao hasa wakikutana viungo waliofungwa mawe miguuni wanakubonda za kutosha
 
Timu yenu ipo vzr kila idara imekamilika. Kasoro goli kipa ndio hamna yani pale Onana ni pazia tafuteni kipa mwingine kabla usajili haujaisha otherwise mkija Anfield na Onana between the sticks tusilaumiane
 
Sabizer si Bora angebaki kuliko hela zote kwa mount yani 10han afanye fasta hiyo idea yake I workout bila hivyo atafeli vibaya.
Hao striker tutawalaumu bure tu hata Timu Haina mpira inaocheza ni papatu papatu tu. Sasa kuliko tushinde kwa papatu papatu Bora tule chuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…