Manchester United (Red Devils) | Special Thread

De Zerbi ni kocha wetu ajaye ole wako uje kumponda


Kwa madudu ya viongozi wetu kocha yoyote anafeli labda aje Glazers wakiwa washaachia timu
 
Tottenham haina mpira wwte wa maana , ni kuwa wamekutana wote wanajifunza kucheza mpira wa Pasi aliyetangulia kuimprove ndo ameshinda , huwez kumponda konte Kwa hzi mechi mbili
Conte Mimi nilianza kumponda mechi za awali kipind wachambuzi uchwara wanaipa Spurs u title Contender, kwa ule mpira huwez toboa EPL ya Sasa Kuna standard zimewekwa ,Kuna mpira unalazimishwa ucheze ili uokote points

Conte kufika February akatupa taulo wale wale waliompa u title Contender wakamgeuka


EPL ya Sasa ukimleta hata Jose Mourinho wanaweza mshusha hata daraja

Wale wolves ni wakawaida Sana lakin niliona vs manjesta walikuwa Bora ,kawaangalie leo walicheza na Brighton ya Di zerbi ambayo inacheza soka hatari Sana ,walivyonyanyasika
 
Unaongea Kwa mahaba tuuu , subiri ifike December
 
Tatizo ni nini wakuu? Ni kocha au wachezaji? Msimu wa pili huu sioni Tenhag anachofanya.
 
Tatizo kocha nae ananunua takataka kama akina Anthony. Mpaka kuja kununua wachezaji hasa na kuondoa takataka zilizokuwepo kama akina Rashford itachukua muda
 
Utasikia ssa hiv ze greb to nyumbu fc
 
De Zerbi ni kocha wetu ajaye ole wako uje kumponda


Kwa madudu ya viongozi wetu kocha yoyote anafeli labda aje Glazers wakiwa washaachia timu
Yule kwa uongoz wa manjesta hawawez mleta , yule namuogopa kuliko hata Guardiola

Yule mbwa ana tactics

Pep ukimpa Brighton anashuka nayo daraja vzr tu

Arsenal tuliwahi cheza na Di zerbi akiwakosa Caicedo ,Mac Allister, pale Kati .Alitupigia mpira sijawahi ona

Pep Guardiola anamjua vzr huyo mwamba

Klopp aliwahi ulizwa maswali mechi mbili mfululizo anakosa majibu, klopp simnamsifia kwa Pressing, alikuwa ana press kwa njia zote na hafanikiwi .

Pep Guardiola akasema kwasasa duniani Hakuna buildup Kama ya Di zerbi ,ukipress kwa njia zote anakuchomoka
 
Hata Argentina kwenye kombe la dunia ilianza vibaya kwa kufungwa na Saudia lakini baadaye wakatwaa WC alisikika shabiki wa mani aking'aka.
Umetolea mfano WA ajabu sana....Argentina ile ilikuwa na watu wa kazi....hii Man U unaona mtu wa kazi nani...ni kama walikusanyana nusu saa kabla ya mechi wakagawana jezi wakaingia uwanjani kucheza.....wapowapo tu...inasikitisha kwakwli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…