Nashindwa kuelewa tatizo la hii team. Kocha ten hag namkubali na kumwamini sana nikikumbuka kazi zake na ajax kwenye uefa.
.ajax haina misuli ya pesa kama man u
.uwepo wake pale ajax alichukua ubingwa mara 3 mfululizo
.alipoondoka tu, ajax imeyumba.
.show yake uefa tulikuwa tunaiona hasa alipowavuruga vigogo ulaya kama madrid, chelsea, tottenham, n.k.
hili tim la man u lina tatizo gani mpaka inakuwa hivi?