Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sio kwamba hawasajili,ni wanatakiwa kuuza kwanza wachezajii ndio wasajili kitu ambacho ni kigumu deadwoods wetu wote hawauziki deals zao zimefeli,Fred ni kama zali tu Mbrazil anataka kusakata kabumbu ndio maana kakubali kusepa.
Hao wengine wapo tayari wale mishahara minono hata wakiwa benchi bila jasho.

Haya matatizo tumejitengenezea wenyewe
Manchester utd inaingiza £500M+ kwa mwaka, ukitoa wachezaji waliokwisha kuuzwa ina maana kwa wiki imeokoa zaidi ya 1.5M kutoka kwenye mishahara yao, Timu kama manchester haina haja ya kusubiri kuuza ndio isajili, Glazers ni mchwa, they don't give a fvck kuhusu club, all they do ni kuikamua tu timu
 
Spurs Vs utd, am ready for disappointment
IMG_20211021_001222.jpg
 
Mchambuzi Nguli wa Jf ,hamis77 niliongea Sana kuhusu uwezo wa 7hag kuwa ana uwezo wakawaida Sana kwenye kitu sisi wakufunzi tunasema Talent ID, unaweza kuwa kocha mzuri ila huna talent ID , na unaweza kuwa kocha wakawaida ila una Talent ID, mfano Raf Rangnik huyu ni DoF mzuri lakini si kocha mzuri,

Talent ID ni Nini?

Ni uwezo wakutambua mchezaji fulani anafiti kwenye mfumo fulani na atanipa impact fulani ninayoihitaji

Ulimwengu wa Sasa Kama unapata kocha mzuri ila Hana Talent ID Basi utamuhitaji DoF mwenye uwezo mkubwa kuweza kumtafsiria idea zake zifanye kazi, mfano Unai Emery na Monchi ,

Erik 7 hag anaonekana ana mifumo mizuri kichwani but wachezaji anasajili ni tofauti na anachotaka kifanyike ,huyu alihitaji DoF mwenye akili ya kutafsiri mifumo anayotaka acheze .

Hivi ulishajiuliza Sajili Kama za Anthony Santos lengo hasa acheze mfumo gani, Sajili za Casemiro ambaye hawezi kuhusika kwenye buildup Kama FDJ, Ina maana ukimkosa FDJ ,profile nyingine lazima iendane na FDJ,

Leo naishia hapa

Screenshot_20230819-133132.jpg
 
View attachment 2721503
Unaweza kuwa na hoja sioni sababu ya kumleta mtu ili kumchezesha nafasi ambayo hajawahi icheza kwa majaribio ni uzwazwa je wakishindwa kuuelewa inakuwajee.
 
Thus why manjesta wanahitaji DoF lasivyo ,7hag soon atafata njia waliyopita wenzake na atawaachia wachezaji waliofeli ,akija kocha mwingine atahangaika kuwaondoa
 
Mchambuzi Nguli wa Jf ,hamis77 niliongea Sana kuhusu uwezo wa 7hag kuwa ana uwezo wakawaida Sana kwenye kitu sisi wakufunzi tunasema Talent ID, unaweza kuwa kocha mzuri ila huna talent ID , na unaweza kuwa kocha wakawaida ila una Talent ID, mfano Raf Rangnik huyu ni DoF mzuri lakini si kocha mzuri,

Talent ID ni Nini?

Ni uwezo wakutambua mchezaji fulani anafiti kwenye mfumo fulani na atanipa impact fulani ninayoihitaji

Ulimwengu wa Sasa Kama unapata kocha mzuri ila Hana Talent ID Basi utamuhitaji DoF mwenye uwezo mkubwa kuweza kumtafsiria idea zake zifanye kazi, mfano Unai Emery na Monchi ,

Erik 7 hag anaonekana ana mifumo mizuri kichwani but wachezaji anasajili ni tofauti na anachotaka kifanyike ,huyu alihitaji DoF mwenye akili ya kutafsiri mifumo anayotaka acheze .

Hivi ulishajiuliza Sajili Kama za Anthony Santos lengo hasa acheze mfumo gani, Sajili za Casemiro ambaye hawezi kuhusika kwenye buildup Kama FDJ, Ina maana ukimkosa FDJ ,profile nyingine lazima iendane na FDJ,

Leo naishia hapa

View attachment 2721503

Wenzako wanawazungumzia ericksen na mason kuchezeshwa deeper role wewe umekazana na anthony tu unaumia sana anthony kucheza man u eeh??
 
Manchester utd inaingiza £500M+ kwa mwaka, ukitoa wachezaji waliokwisha kuuzwa ina maana kwa wiki imeokoa zaidi ya 1.5M kutoka kwenye mishahara yao, Timu kama manchester haina haja ya kusubiri kuuza ndio isajili, Glazers ni mchwa, they don't give a fvck kuhusu club, all they do ni kuikamua tu timu
Soon timu wanaiuza kwa taarifa za jana tuvumilie tabu kwa mara ya mwisho
 
Mchambuzi Nguli wa Jf ,hamis77 niliongea Sana kuhusu uwezo wa 7hag kuwa ana uwezo wakawaida Sana kwenye kitu sisi wakufunzi tunasema Talent ID, unaweza kuwa kocha mzuri ila huna talent ID , na unaweza kuwa kocha wakawaida ila una Talent ID, mfano Raf Rangnik huyu ni DoF mzuri lakini si kocha mzuri,

Talent ID ni Nini?

Ni uwezo wakutambua mchezaji fulani anafiti kwenye mfumo fulani na atanipa impact fulani ninayoihitaji

Ulimwengu wa Sasa Kama unapata kocha mzuri ila Hana Talent ID Basi utamuhitaji DoF mwenye uwezo mkubwa kuweza kumtafsiria idea zake zifanye kazi, mfano Unai Emery na Monchi ,

Erik 7 hag anaonekana ana mifumo mizuri kichwani but wachezaji anasajili ni tofauti na anachotaka kifanyike ,huyu alihitaji DoF mwenye akili ya kutafsiri mifumo anayotaka acheze .

Hivi ulishajiuliza Sajili Kama za Anthony Santos lengo hasa acheze mfumo gani, Sajili za Casemiro ambaye hawezi kuhusika kwenye buildup Kama FDJ, Ina maana ukimkosa FDJ ,profile nyingine lazima iendane na FDJ,

Leo naishia hapa

View attachment 2721503
Leo umejileta sehemu niliyokuwa naitaka na umefanya vyema.
Vipaji vingi vinasakwa na DOF pale Ajax alikuwa na Overmaars sasa hapa kwa akina John Murtough atashauriana nao nini?
Alipaswa kumshikilia mikono Ralf asisepe japo inaonekana alitimuliwa.

Director Of Football anahitajika sana ili apate wachezaji wanaoendana na anachotaka akiendelea kumuamini Murtough atatoa nae maboko kila siku.
 
Thus why manjesta wanahitaji DoF lasivyo ,7hag soon atafata njia waliyopita wenzake na atawaachia wachezaji waliofeli ,akija kocha mwingine atahangaika kuwaondoa
Kabisa mtu alikuwa na akina FDJ na Alvarez mixer Timber huku unamleta kwa watu hawajui hata kupiga pasi 30 bila kupoteza mpira.
Man United tatizo halijawahi kuwa kocha hata Ole angepata DoF mzuri angekuwepo hadi leo,hata Jose na Van Gaal waliletewa wangese wengi tu.

Hii mission itafanikiwa kama tu mmiliki mpya akipatikana lazima asuke uongozi mpya juu wa kumrahisishia kazi kocha sio huu wa negotiations za miezi 3 na bado tunatoka kapa.

Anapata tabu kuwaondoa deadwoods kwa sasa kutokana madudu yaliyofanywa na Woodward.

I wish hii ndoto kufika January itatimia
 
Yves Bissouma, J. Maddison, H.M. Son, Destiny Udogie, M. Van De Ven, Emerson Royal.

Remember the names.
 
Wenzako wanawazungumzia ericksen na mason kuchezeshwa deeper role wewe umekazana na anthony tu unaumia sana anthony kucheza man u eeh??
Anthony ni case study nzur Sana Kama unataka kujua Erik 7 hag anaipeleka wapi manjesta na itaishia wapi,

Kama unataka ujue uwezo wa a Dutch David Moyes Erik 7 hag katika kusajili usihangaike na sajili za mchongo Kama Malacia ,casemiro kwa €70m miaka 30+, eriksen miaka 30+ mgonjwa ,Hojlund goals 9 mech 32, usihangaike na hizo sajili

Case study ni Anthony hakuwahi kuwa na uwezo wowote au potential ya maana pale Ajax , na a Dutch David Moyes alikuwa anamjua vzr lakini ndiye aliidhinisha aletwe ,na manjesta wakalipa €100m
 
Biggest team is the world is playing today and whole world is happy

Ni kwa mara nyingine tena wazee wa ngwasuma tunashuka siku ya leo kugawa burudani kabambe Sana majirani wote mnakaribishwa sana.

My prediction

Tottenham 1 vs Manchester United 3

1.30

Tottenham Hotspurs

Tottenham mnacho cheza nacho hamkijui hakika kitawaramba leo.View attachment 2721499
Wale waamuzi waliowabeba game ya Wolverhampton wameshapigwa chini
Yani hivi, mpate mbeleko waamuzi watumbuliwe au mle chuma mnazo stahili

Mara nyingi nyumbu mnafuraha kabla ya mpira kuanza
 
Hii timu bila kubebwa ,Erik 7 hag a Dutch David Moyes hafiki December ,
 
Walichokicheza na Wolverhampton walikiona na wote walipiga kelele humu
Leo hii wanajitoa utaham wanakuambia nyumbuz sijui anashinda Nini sijui Nini

Hadi unajiuliza hii ni mihadarati au akili ya kawaida?
 
Back
Top Bottom