OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,305
Leo Spurs anawakula yani ananipasulia hizi nyumbu bao tatu kavuu
Kwa forward richarlison sio 😄 man u leo ashindwe mwenyewe tuLeo Spurs anawakula yani ananipasulia hizi nyumbu bao tatu kavuu
Hapaa hawa mbanga hawana maisha leo.. Spurs atafanya maajabuKwa forward richarlison sio 😄 man u leo ashindwe mwenyewe tu
Sio kwa majeruhi aliyo nayoHapaa hawa mbanga hawana maisha leo.. Spurs atafanya maajabu
Unaweza kuwa na hoja sioni sababu ya kumleta mtu ili kumchezesha nafasi ambayo hajawahi icheza kwa majaribio ni uzwazwa je wakishindwa kuuelewa inakuwajee.Mchambuzi Nguli wa Jf ,hamis77 niliongea Sana kuhusu uwezo wa 7hag kuwa ana uwezo wakawaida Sana kwenye kitu sisi wakufunzi tunasema Talent ID, unaweza kuwa kocha mzuri ila huna talent ID , na unaweza kuwa kocha wakawaida ila una Talent ID, mfano Raf Rangnik huyu ni DoF mzuri lakini si kocha mzuri,
Talent ID ni Nini?
Ni uwezo wakutambua mchezaji fulani anafiti kwenye mfumo fulani na atanipa impact fulani ninayoihitaji
Ulimwengu wa Sasa Kama unapata kocha mzuri ila Hana Talent ID Basi utamuhitaji DoF mwenye uwezo mkubwa kuweza kumtafsiria idea zake zifanye kazi, mfano Unai Emery na Monchi ,
Erik 7 hag anaonekana ana mifumo mizuri kichwani but wachezaji anasajili ni tofauti na anachotaka kifanyike ,huyu alihitaji DoF mwenye akili ya kutafsiri mifumo anayotaka acheze .
Hivi ulishajiuliza Sajili Kama za Anthony Santos lengo hasa acheze mfumo gani, Sajili za Casemiro ambaye hawezi kuhusika kwenye buildup Kama FDJ, Ina maana ukimkosa FDJ ,profile nyingine lazima iendane na FDJ,
Leo naishia hapa [emoji107]
View attachment 2721503
Thus why manjesta wanahitaji DoF lasivyo ,7hag soon atafata njia waliyopita wenzake na atawaachia wachezaji waliofeli ,akija kocha mwingine atahangaika kuwaondoaUnaweza kuwa na hoja sioni sababu ya kumleta mtu ili kumchezesha nafasi ambayo hajawahi icheza kwa majaribio ni uzwazwa je wakishindwa kuuelewa inakuwajee.
Mchambuzi Nguli wa Jf ,hamis77 niliongea Sana kuhusu uwezo wa 7hag kuwa ana uwezo wakawaida Sana kwenye kitu sisi wakufunzi tunasema Talent ID, unaweza kuwa kocha mzuri ila huna talent ID , na unaweza kuwa kocha wakawaida ila una Talent ID, mfano Raf Rangnik huyu ni DoF mzuri lakini si kocha mzuri,
Talent ID ni Nini?
Ni uwezo wakutambua mchezaji fulani anafiti kwenye mfumo fulani na atanipa impact fulani ninayoihitaji
Ulimwengu wa Sasa Kama unapata kocha mzuri ila Hana Talent ID Basi utamuhitaji DoF mwenye uwezo mkubwa kuweza kumtafsiria idea zake zifanye kazi, mfano Unai Emery na Monchi ,
Erik 7 hag anaonekana ana mifumo mizuri kichwani but wachezaji anasajili ni tofauti na anachotaka kifanyike ,huyu alihitaji DoF mwenye akili ya kutafsiri mifumo anayotaka acheze .
Hivi ulishajiuliza Sajili Kama za Anthony Santos lengo hasa acheze mfumo gani, Sajili za Casemiro ambaye hawezi kuhusika kwenye buildup Kama FDJ, Ina maana ukimkosa FDJ ,profile nyingine lazima iendane na FDJ,
Leo naishia hapa [emoji107]
View attachment 2721503
Soon timu wanaiuza kwa taarifa za jana tuvumilie tabu kwa mara ya mwishoManchester utd inaingiza £500M+ kwa mwaka, ukitoa wachezaji waliokwisha kuuzwa ina maana kwa wiki imeokoa zaidi ya 1.5M kutoka kwenye mishahara yao, Timu kama manchester haina haja ya kusubiri kuuza ndio isajili, Glazers ni mchwa, they don't give a fvck kuhusu club, all they do ni kuikamua tu timu
😂😂😂😂Spurs Vs utd, am ready for disappointment
View attachment 2721517
Leo umejileta sehemu niliyokuwa naitaka na umefanya vyema.Mchambuzi Nguli wa Jf ,hamis77 niliongea Sana kuhusu uwezo wa 7hag kuwa ana uwezo wakawaida Sana kwenye kitu sisi wakufunzi tunasema Talent ID, unaweza kuwa kocha mzuri ila huna talent ID , na unaweza kuwa kocha wakawaida ila una Talent ID, mfano Raf Rangnik huyu ni DoF mzuri lakini si kocha mzuri,
Talent ID ni Nini?
Ni uwezo wakutambua mchezaji fulani anafiti kwenye mfumo fulani na atanipa impact fulani ninayoihitaji
Ulimwengu wa Sasa Kama unapata kocha mzuri ila Hana Talent ID Basi utamuhitaji DoF mwenye uwezo mkubwa kuweza kumtafsiria idea zake zifanye kazi, mfano Unai Emery na Monchi ,
Erik 7 hag anaonekana ana mifumo mizuri kichwani but wachezaji anasajili ni tofauti na anachotaka kifanyike ,huyu alihitaji DoF mwenye akili ya kutafsiri mifumo anayotaka acheze .
Hivi ulishajiuliza Sajili Kama za Anthony Santos lengo hasa acheze mfumo gani, Sajili za Casemiro ambaye hawezi kuhusika kwenye buildup Kama FDJ, Ina maana ukimkosa FDJ ,profile nyingine lazima iendane na FDJ,
Leo naishia hapa [emoji107]
View attachment 2721503
Kabisa mtu alikuwa na akina FDJ na Alvarez mixer Timber huku unamleta kwa watu hawajui hata kupiga pasi 30 bila kupoteza mpira.Thus why manjesta wanahitaji DoF lasivyo ,7hag soon atafata njia waliyopita wenzake na atawaachia wachezaji waliofeli ,akija kocha mwingine atahangaika kuwaondoa
Anthony ni case study nzur Sana Kama unataka kujua Erik 7 hag anaipeleka wapi manjesta na itaishia wapi,Wenzako wanawazungumzia ericksen na mason kuchezeshwa deeper role wewe umekazana na anthony tu unaumia sana anthony kucheza man u eeh??
Wale waamuzi waliowabeba game ya Wolverhampton wameshapigwa chiniBiggest team is the world is playing today and whole world is happy [emoji16][emoji16]
Ni kwa mara nyingine tena wazee wa ngwasuma tunashuka siku ya leo kugawa burudani kabambe Sana majirani wote mnakaribishwa sana.
My prediction
Tottenham 1 vs Manchester United 3
[emoji355]1.30
[emoji2522] Tottenham Hotspurs
Tottenham mnacho cheza nacho hamkijui hakika kitawaramba leo.View attachment 2721499
Hii timu bila kubebwa ,Erik 7 hag a Dutch David Moyes hafiki December ,Wale waamuzi waliowabeba game ya Wolverhampton wameshapigwa chini
Yani hivi, mpate mbeleko waamuzi watumbuliwe au mle chuma mnazo stahili
Mara nyingi nyumbu mnafuraha kabla ya mpira kuanza
Walichokicheza na Wolverhampton walikiona na wote walipiga kelele humuHii timu bila kubebwa ,Erik 7 hag a Dutch David Moyes hafiki December ,
Biggest team is the world is playing today and whole world is happy [emoji16][emoji16]