Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

[emoji599][emoji981] Lisandro Martinez on his ideal partner at the back: “I would choose Nemanja Vidic. His mentality, his motivation and he’s always hungry.”

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230812_203324_265.jpg
 
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230812_203737_920.jpg
 
#mufc are assessing a move for midfielder Amadou Onana.


[Simon Jones]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230812_203747_750.jpg
 
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230812_203835_382.jpg
 
UEFA wanapaswa kubadili sheria zao, Kwenye michuano ya champions league timu za Uingereza zinapaswa kuwa 6.

Kwa hizi timu 4 hawa wahuni watauana.

Angaĺia kinachotokezea kwenye dili la caicedo.

Angalia uwekezaji wa newcastle, aston villa, brighton na hata spurs
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu unaelewa mpira lakini?
Yaani team kubwa kama Man U tutengeneze timu kumzunguka mzee wa miaka 39?
kItuko cha karne hiki.
Kuna shida gani kama anatupa matokeo? Mbona kamtoa Bailly, Maguire, Tuanzebe alafu kamsajili John Evans au JE ni U18?
 
Hana akili huyo ana wazimu akashabikie rede mpira hajui
Maneno yenu ya kejeli na matusi mnayo nitukana hayani badilishi msimamo kuhusu manchester, at the end of the day najua mtaungana na mimi kuhusu 7Hag na kikosi chake, I've seen it b4, kuna waliokuja kasi kuliko nyie
 
Sasa suala la kutengeneza timu si inategemeana na akili na malengo ya kocha, 7Hag alilazimishwa kutengeneza timu kumzunguka Ronaldo?
kwa tabia ya Ronaldo timu isipotengenezwa kumzunguka yeye hapo ndo ugomvi unapoanzia kwa ila 10hag hajui kama unamchukia ungechukulia haya mambo kawaida tu au unapumzika hadi akitoka then unaendelea na kushabikia timu yako pendwa
 
kwa tabia ya Ronaldo timu isipotengenezwa kumzunguka yeye hapo ndo ugomvi unapoanzia kwa ila 10hag hajui kama unamchukia ungechukulia haya mambo kawaida tu au unapumzika hadi akitoka then unaendelea na kushabikia timu yako pendwa
Simchukii 7Hag, shida ni kwamba mashabiki wengi wa utd hamtaki kuambiwa ukweli, tumekua tuki hype sana signing zetu ambazo ni mediocre mwisho wa siku zinakuja kutuumbua. Hata 7Hag ni kocha wa kawaida saana level zakina Moyes kisa ana kipara mnafikiri ni Gurdiola
 
Back
Top Bottom