xYz07
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,077
- 5,918
Maneno yenu ya kejeli na matusi mnayo nitukana hayani badilishi msimamo kuhusu manchester, at the end of the day najua mtaungana na mimi kuhusu 7Hag na kikosi chake, I've seen it b4, kuna waliokuja kasi kuliko nyieHana akili huyo ana wazimu akashabikie rede mpira hajui

Lisandro Martinez on his ideal partner at the back: “I would choose Nemanja Vidic. His mentality, his motivation and he’s always hungry.”







