Umejibu Poa sana
Al Watani! Ukianzia Olise, Yule Mkali anajua Haswa na UTD Namna inaendeshwa Hovyo ni moja ya Talanta walipuuzia, Kuna wakati Woodward angekubali kuwa na DOF na TechD, angekuwa leo Hii ana Caicedo, Bellingham, Haaland, Enzo, Alvarez na Hojlund {Tumempata but Scouts wali-reccomend kabla ya yeye kwenda Sturm Gruz},
Hii mada kuna Mahala nshakutana nayo ila Hitimisho kubwa waligusia Mambo mengi ila mimi naona kama ma3 {Sio Sheria kwamba ndo hizo tu ndo sababu}
1.MIFUMO:
Hapa kiuhalisia Makocha wachache sana bado wanatumia 4~4~2, hii ndo ilikuwa rahisi kuwa na Orthodox na timu yetu miaka yote imekuwa maarufu kwa sababu ya Wings, Giggs, Becks, and Co. ila Huwezi iona UTD Karibuni n mfumo huo sababu imekuwa kama ya kizamani ingawa kwa inaowapa Matokeo bado wanatumia kama Simeone kuna kipindi alikuwa anatumia Orthodox
2.Aina za Uchezaji na Wachezaji, Walimu na Mbinu
Hapa Ajax ndo alibadili mwelekeo mzima wa Mpira na namna unaathiri wachezaji, Ile TOTAL FOOTBALL Ilikuja kuwa mpira wa majukumu ya wote na zaidi mfumo tawala ukawa 4~3~3 hapa Orthodox ngumu kuoperate, {Inaingia kwenye Pt.3}
3.Matumizi ya Nafasi,
Hawa tunaita Inverted Fb's, Hii imekuja kuwa Maarufu ila Inverted ya Wingers ndo ilianza mana majukumu ya FB's yakabadiliaka yakawa ndo yale unasikia Beki ya Kupanda na kushuka {Hii ndo Overlapping} sasa hili lilisababishwa na Wings kuingia ndani kushambulia Nafasi nusu zile. Walimu wengi wakaja na namna ya matumizi ya Unorthodox na nadhani Combo nzuri zaidi na World Class Ilikuwa ya ROBBERY {Ribery na Robben}
Hizo ni kama Hints tu, Siku hizi sio kama Orthodox hazizalishwi ila Academies nyingi tangu utoto unakuta Player ashatengenezwa Unorthodox, Sisi UTD season mbili Nyuma tumekuwa na Dan James ila unaona sio World Class, Now tuna Pellistri! Orthodox wa kiwango cha Juu naenda kwa Chiesa, Sane na Gnabry yani hawa ukiwabadili wawe Unorthodox wanakuwa na Performance ya kawaida ila ukiwaeka nafasi Old School kwamba RW for Right Foot and LW for Left Foot, full back zinapata kazi ya ziada.