Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kwa tabia ya Ronaldo timu isipotengenezwa kumzunguka yeye hapo ndo ugomvi unapoanzia kwa ila 10hag hajui kama unamchukia ungechukulia haya mambo kawaida tu au unapumzika hadi akitoka then unaendelea na kushabikia timu yako pendwa
Simchukii 7Hag, shida ni kwamba mashabiki wengi wa utd hamtaki kuambiwa ukweli, tumekua tuki hype sana signing zetu ambazo ni mediocre mwisho wa siku zinakuja kutuumbua. Hata 7Hag ni kocha wa kawaida saana level zakina Moyes kisa ana kipara mnafikiri ni Gurdiola
 
man utd ni timu ambayo inahitaji mageuzi makubwa sana.. timu ilipoteza dira! kuweni na imani na kocha wenu wa sasa mana ni mwalimu mzuri tu sio mbaya ki ivyo.. kwa wafuatiliaji mpira wata
kuwa wanaelewa.
 
Simchukii 7Hag, shida ni kwamba mashabiki wengi wa utd hamtaki kuambiwa ukweli, tumekua tuki hype sana signing zetu ambazo ni mediocre mwisho wa siku zinakuja kutuumbua. Hata 7Hag ni kocha wa kawaida saana level zakina Moyes kisa ana kipara mnafikiri ni Gurdiola

Ten hag ni level za kina moyes? Pls shut man
Akina moyes ni way too low
 
Lisandro Martinez on his ideal partner at the back: “I would choose Nemanja Vidic. His mentality, his motivation and he’s always hungry.”

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2715687

He is right
 
Simchukii 7Hag, shida ni kwamba mashabiki wengi wa utd hamtaki kuambiwa ukweli, tumekua tuki hype sana signing zetu ambazo ni mediocre mwisho wa siku zinakuja kutuumbua. Hata 7Hag ni kocha wa kawaida saana level zakina Moyes kisa ana kipara mnafikiri ni Gurdiola
Kocha ambae tungeweza mpata wa level hiyo unayoitaja wewe ni yupi mkuu?
 
Ukweli gani unauongea? Kisa Ronaldo alitimuliwa ndiyo maana unaona EtH hafai. Sajili zetu lazima tuzi-hype, sisi ni mashabiki hata tukipinga timu haiwezi kuvunja mkataba na mchezaji ikiwa kocha anamhitaji, sajili za timu hatutoi maamuzi sisi. Aliyepewa kazi ni EtH siyo sisi acha afanye kazi yake.

Ni haki yako kutokumkubali EtH ila unapaswa kuwa na sababu za msingi.
 
7Hag decided to keep Marcus Rashbeck and Luke Shaw over Cr7 and Alex Telles
View attachment 2715771
Wewe ni Ronaldo fan-boy na ndiyo tatizo linapoanzia hapo. Yani Telles ndiyo unaona ni mchezaji kuzidi Shaw?

Kibabu Ronaldo unamfananisha na Rashford? Tumuweke Ronaldo LW tuone atafanya nini!

Ronaldo namkubali sana ila nilimuona fala sana alivyotaka kulazimisha kuwa juu ya kocha na timu. Asikae bench yeye ni nani? 🚮
 
Kocha ambae tungeweza mpata wa level hiyo unayoitaja wewe ni yupi mkuu?
Tulikua nae kabla, lakin sababu ya Glazers plus mashabiki hamtaki kuambiwa ukweli mkamuona hafai.

So far makocha ambao wapo hawana timu na ni best option compared to 7Hag ni Zidane, Joachim Low, Hans Flick, Nagelsmann.
Telles unadhani hatukumuona akicheza?

Huyo babu Ronaldo kwa sasa anaweza amateur football tu.
Alex Telles ana makombe 12 kabatini mwake toka nchi tatu tofauti, Luke shaw ana mawili, na katika hayo moja alikaa jukwaani akimuangalia Damian akifanya majukumu ambayo yeye aliyashindwa. Hapo utajua nani ana winning mentality, n in football if you are not a winner, you are a loser, utachagua wewe nani ni winner na nani ni loser kati ya hao
Eti kufunga dhidi ya wala urojo anadhani bado yupo top wakati hata Brighton namba hapati
 
Wewe ni Ronaldo fan-boy na ndiyo tatizo linapoanzia hapo. Yani Telles ndiyo unaona ni mchezaji kuzidi Shaw?

IMG_20230813_224228.jpg
 
Back
Top Bottom