Mkuu kuna 𝑼𝑫𝑾𝑨𝑵𝒁𝑰 unaendelea hii dunia mpaka nashindwaga kuelewa hawa wanawake wanatutakaga nini kwenye haya maisha, Kama Mason keshaonekana hana hatia na kakubari kuishi na Demu wake shida ipo wapi mpaka wanaendelea kumsakama[emoji848]?..?, na wanasahau Mason ni kijana mdogo tena tuseme mtoto tu.
Walimtia kizuizini MendY kwa kesi ya kubambikiza ety kabaka mwisho wa siku imegundulika ni uongo mwanamke alikuwa karidhia, hivi Mendy akisema amfungulie kesi ya madai yule Dada ataweza kulipa fidia?..? ila nahisi jamaa kaachana nae tu kaina apotezee.
Pia nafikiri hizi issue kama hizi kwa BLACKs zinakuzwa sana, Jiulize kesi ya ubakaji ya Benzema wala haizungumziwi ikiibuka inazimwa chap, halafu ukizingatia na mafanikio wanayoyaona BLACKs wanapata wanakereka sana hawa WHITEs hawajawahi kutupenda.