Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Alitakiwa awepo hapo kitambo ila kisa mapenzi yake kwa United alikataagaKijiwe nongwa mmesema De Gea hatimaye anaweza kwenda kucheza kwenye club kubwa Duniani. #LosBlancos
Alitakiwa awepo hapo kitambo ila kisa mapenzi yake kwa United alikataagaKijiwe nongwa mmesema De Gea hatimaye anaweza kwenda kucheza kwenye club kubwa Duniani. #LosBlancos
😅😅😅 sometime tunajipa hope, hata km hatuoni dalili broNilipoona expectations zako hizo kwa Martial na Rashford sikutaka kumalizia kusoma hii ni sawa na Meme![]()
Tupe takwimu zake za majeraha mkuuPavard na record yake za majerui zilivyokua vizuri na hii epl ya nginjanginja
Nitafurahi Sana akitua unyumbuni
KItakwimu Paverd kamuacha mbali TapsobaTapsoba lile Jamaa linajua ,naomba msimpate muhangaike na huyu Pavard , Tena nimeona mazungumzo yapo pazuri
Huyu Pavard na mwenzie Harnandez walikuwa hawapatikana Sana baryen sababu ya injury
Wakati añaondoka Atlético alitakiwa kwenda kumrithi Iker Cassilas sema ndo hivyo akafanya maamuzi ya hovyoKijiwe nongwa mmesema De Gea hatimaye anaweza kwenda kucheza kwenye club kubwa Duniani. #LosBlancos
Kwa sababu Man United hana guarantee ya kuwa the best,ila Man Cuty anaweza kuwa mkali na hela ikaenda halali.Nawaza ingelikuwa manchester united ndio anafanya dili hili
View attachment 2713764

Wana overpay kwa mchezaji wa kawaidaNawaza ingelikuwa manchester united ndio anafanya dili hili
View attachment 2713764
True,hata Fred mliwapokonya city, Leo Hana thamanKwa sababu Man United hana guarantee ya kuwa the best,ila Man Cuty anaweza kuwa mkali na hela ikaenda halali.
Huenda hata Maguire angeendaga Man City kipindi kile angekuwa moto wa kuotea mbali![]()
Hiyo pesa kama utawapa barcelona kwa ajili ya frenkie de jong unadhani watakataa?Wana overpay kwa mchezaji wa kawaida
Kwasasa mbrazil mweye angalau ubongo na akili ya ikay Gundogan labda Bruno Guimares ,

Angekuwepo mzee Wenger sina shaka angemchukua Le captain Maguire, kama tuliwapa Silvester tukawapa na Welbeck why not Maguire?Loyalty ya magwaya ni kubwa Sana kwa nyumbu hii
Timu nzima inekufa lakini lawama alikua anazibeba magwaya
Hary magwaya the living legend
Duuuuh! Gundogan ni mbrazil?Wana overpay kwa mchezaji wa kawaida
Kwasasa mbrazil mweye angalau ubongo na akili ya ikay Gundogan labda Bruno Guimares ,
Soma vizuri alichokiandika, usiwe na papalaDuuuuh! Gundogan ni mbrazil?
Umeelewa kilichoandikwa lakiniDuuuuh! Gundogan ni mbrazil?
Mmekosa kabisa wakumtapeli mnataka mtufanyie sisi watoto wa LondonAngekuwepo mzee Wenger sina shaka angemchukua Le captain Maguire, kama tuliwapa Silvester tukawapa na Welbeck why not Maguire?
Kama vipi mchukueni atawasaidia sana kwa zile pancha za Saliba, Le captain amekipiga misimu 4 mfululizo bila kuumwa hata mafua.
View attachment 2713891