Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Maguire kuchomesha imeshazoeleka hahah Jana kafanya tena dah wachukue hata 5mil
Fred, mctominay na donny van de beek.
Kuna pahali nilisoma wanadai uwezekano wa Amrabat kutua OT ni mpaka wawili kati ya Fred,Van DB au McTominay wauzwe, na kwa mujibu wa vyanzo vingi vya habari vinadai Fred kwa asilimia nyingi deal lake huenda likafanikiwa kwa asilimia 100%.
Hao wote ni wakupigwa bei..waje watu wanaojua..la sivyo tutaendelea kujaza tu magharasa kwenye kikosi.Fred, mctominay na donny van de beek.
Hao mabwana mpaka tujue mustakabali wao.
Fred, mctominay na donny van de beek.
Hao mabwana mpaka tujue mustakabali wao.
Yaani hili wala halihitaji discussion mkuuWest Ham have made a take it or leave it offer to #mufc worth £60m for Harry Maguire and Scott McTominay - £30m for each player.
[Ex WHU Employee]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2711399
I rate high Scot Mictominay over Sofyan Amrabat.Hao wote ni wakupigwa bei..waje watu wanaojua..la sivyo tutaendelea kujaza tu magharasa kwenye kikosi.
Kikosi kinaonekana kikubwa lakini chote cha magharasa.
I second you broI rate high Scot Mictominay over Sofyan Amrabat.
Jembe sn jamaa