lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,642
- 25,807
Onana alitakiwa kuwa mchezaji kiungo au beki lakini si kipa. Hata alipokuwa akiichezea Cameroon kwenye World Cup 2022, alitofautiana na kocha wake kwa sababu ya kucheza wanjani na kuacha goli wazi hadi ushiriki wake wa michuano hiyo ulipokatishwaAchana na Onana mikono mia
angalia simanzi za nyumbu wakuu huko England [emoji1][emoji1]View attachment 2709256