Kama ulivyosema ,bado EPL awe anatoka hivo hivoWameshamtungua Onana![]()
Bado halafu hajaonja zile test alizokuwa anakutana nazo degeaHuyu Onana mpelekeni kwa mkopo apate uzoefu la sivyo mkija nae Anfield tusilaumiane.
Asante mkuuSaa nane na dakika 45








Tatizo halipo kwa onana, tatizo lipo kwa wachezaji wa ndani.Hii Half -way line anayocheza Onana, Itawaumiza sana Premier League.
10hang Timu anayoongea mdomoni na inayocheza uwanjani ni mbili tofauti.

Akisema hamis77 unachukulia chuki za kishabikiHuyu Fremason Mount mbona kama ana uWighorst ndani yake?
Unakosaje sasa kufunga goli uko peke yako tu na kipa?
Hivi Chelsea mnatuchukuliaje kwani?
Kwani pesa yenu mshalipwa yote maana dirisha bado liko wazi.
Right half space itatuadhibu sana, hapo ndipo unapomtamani diomande wa sporting, kim min jae au todibo.Hili goli ni la Varane kabisaaaa