Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Sasa mbona hii mishavu hakuna tena zipo tofauti sana.Jamaa kanenepa hata kama picha zimetengenezwaView attachment 2694772
Whatever maybe ni likizo tu kurelease weight ni kitu kidogo
Sasa mbona hii mishavu hakuna tena zipo tofauti sana.Jamaa kanenepa hata kama picha zimetengenezwaView attachment 2694772
AiseeKijana hapa ni either Glazers wanabaki na timu ama wanaiuza kwa Sheikh Jassim.
Members wanne wa familia tayari wametia saini bado Joel na Avram tu
Namba 24! kuna anayesubiriwe namba ya De Gea?
Namba 24 ndiyo anaitumia tokea yupo Ajax.Namba 24! kuna anayesubiriwe namba ya De Gea?
Narudia tena achaneni na picha za washenzi hii ni ya leoView attachment 2695216
Nyumbu habari za mchana naomba radhi kidogo nilichelewa kuwasalimia waja laana nyie
Dogo wawahishe pesa tu kabla ya Jumatatu tunampta tena kusiwe na negotiations nyingi wakaruhusu mwanya wa PSG kumuwahiPSG washaanza kumsogelea Hojlund, yasije yakajirudia ya Min-Jae.
The power of bottlingTen Hag on new striker for United: “We will do everything in our power to get the right man in. We know our targets”.
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2695533