Liverpool anauza fabinho na Henderson, anahaha kupata DM, anategemea hasa form ya salah miaka 33 ambaye alishaonesha kushuka ,factors Kama hizi muwe mnaziangalia mnapoziweka timu kwenye ubingwa ,sio baadae mnakuwa surprised ,mwaka Jana sikuwa shocked na Liverpool kuchechemea ,
Manjesta una mbadala wa casemiro ambaye suspension,injury zikitokea ?
Una mbadala wa Rashford , na CF?
Msiropoke tu kuweka timu kwenye title race bila ku count some factors
Kile kikos Cha Chelsea ,Gaby Agnobo kasema hata nafasi 10 waitafute
