Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,124
- 2,982
Wanagoal na assist ngapi tuwalinganishe kwa statistics..Hii ni list ya winga bora kuliko Rashbeck lakini wanalipwa kidogo kuliko huyu pepe wa kingereza
Vinicius Jr
Rodrygo
Rafael Leao
Diogo Jota
Luis Diaz
Grealish
Foden
Federico Chiesa
Kingsley Coman
Rashford anaweza asiwe mzuri sana ila unamkosea heshima..