Acha kujichekesha kimalaya mkuu cheki boli kwanza.Sancho[emoji1787]
Dah hutaki nicheke vitukoAcha kujichekesha kimalaya mkuu cheki boli kwanza.
Nyie inabidi tuwakande nje ndani msimu huu ili heshima irudi. Arsenal mmetushikia point 6 zetu.Manjesta hii ya kina dalot na winga Anthony masebene [emoji1787]
Kuwa serious Basi ,
Kwa manjesta hii ambayo tukikutana nayo inapaki Basi au ipi?Nyie inabidi tuwakande nje ndani msimu huu ili heshima irudi. Arsenal mmetushikia point 6 zetu.
Achana na mataji mkuu, nyie hata kuingia UEFA mmeshindwa kwa miaka 7. Ni aibu sana.Mbona manjesta imekaa miaka 6 bila taji lolote na ilikuwa na matumizi makubwa ya pesa mnasajili magarasa kina Sancho magwaya nm, Anthony
Hii ni list ya winga bora kuliko Rashbeck lakini wanalipwa kidogo kuliko huyu pepe wa kingerezaHuu upuuzi wa kulipa watu mishahara mikubwa sijui nani alitudanganya, Rashford yule ilitakiwa alipwe 200k tu, mana unajua hakuna team ya kumpa hizo 325, ni pesa ndefu mno, wachezaji wa kulipwa $300 pale UTD hawapo an
Liverpool anauza fabinho na Henderson, anahaha kupata DM, anategemea hasa form ya salah miaka 33 ambaye alishaonesha kushuka ,factors Kama hizi muwe mnaziangalia mnapoziweka timu kwenye ubingwa ,sio baadae mnakuwa surprised ,mwaka Jana sikuwa shocked na Liverpool kuchechemea ,Duh hizi dharau zimezidi sasa. Nasemaje ligi ianze tu tuwaone kama kweli mtaweza mziki wa kukimbizana na wakubwa zenu (City,United, Liverpool).
Acha kujichekesha kama Mmama hii kitu nishaelezea humu ndani siku za nyuma japo hawa jamaa wamechelewesha wakati.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
EXCL: The Glazers could pull the plug on the sale of manutd [emoji15][emoji599]
[emoji3578] @MikeKeegan_DM has the latest [emoji837]View attachment 2693461
Glazers wakisubiri msimu uanze hali itakuwa mbaya kwao.Like I said siku zote , Grazzer wanacheza na akili za mashabiki wa manjesta
Walifanya hivo mwaka Jana na mwaka huu wanafanya hivo
Wale madalali wa Sheikh Jasim kina Flano Forgotten na wengine Timu haiuzwi hii [emoji1787][emoji1787]
[emoji599][emoji383] BREAKING!
The Glazer family will still be in control of #mufc when the Premier League season starts
[@MikeKeegan_DM]-Tier 1
Japo ni mtoa maboko hii si alishaifafanuaLike I said siku zote , Grazzer wanacheza na akili za mashabiki wa manjesta
Walifanya hivo mwaka Jana na mwaka huu wanafanya hivo
Wale madalali wa Sheikh Jasim kina Flano Forgotten na wengine Timu haiuzwi hii [emoji1787][emoji1787]
[emoji599][emoji383] BREAKING!
The Glazer family will still be in control of #mufc when the Premier League season starts
[@MikeKeegan_DM]-Tier 1