Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
EtH msimu wa kwanza tu ana kombe na timu ipo UCL.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] make kwanza nicheke ,kwa mpira gani huo ?
Nyie kumaliza juu yetu sahahuni
Mna kocha anafundisha mpira wa ovyo Sana
Wayne Rooney Leo amesema yupo inspired na Arteta kuliko 10 hag
Rooney on Arteta:
"That is where you want to get to as a young coach. I am going through the steps to try and do that."
(@sistoney67 )
Huwa nasema daily humu 7+3hag ni kocha wa kawaida Sana ,, na Sion akitoboa ,, na msimu huu kwa mpira ule kitawakuta Cha Chelsea Cha mwaka Jana ,nafasi ya 10-12
Arsenyani mmeotea msimu mkajiaminisha mnachukua EPL vipigo vilipoanza wote mkajificha.
EtH ana msimu mmoja tu na atampita Arteta maana hajui anachofanya.