Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuweni makini Kuna siku mtachezea hiviView attachment 2691314
Amka.
1689476232207.jpg
 
Leicester City are interested in Amad Diallo but they face competition from Premier League clubs such as Burnley and Sheffield United. The 21-year-old is more likely to stay in the top flight than drop down to the relegated Leicester.

[Simon Jones, Mail]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2691339
Uwa napata tabu kuona talent changa kama hizi zinauzwa.
 
De Gea aliibuka kuwa shujaa wa Man United kwa zaidi ya mechi 5 msimu uliopita.

Ningumu kipa kupata tuzo ya Man Of The Match lakini kwa De Gea ilikuwa ni kitu chepesi.

Kwa beki za #Nyumbu na muundo wao wa timu kwenye uzuiaji naona kabisa Onana anaenda kuwa shati pale golini
20230718_094856.jpg
 
Baada ya masaa 72 Glazers watatoa maamuzi kama wanauza timu rasmi ama wanaendelea kubaki so wa kufurahi wajiandae kucheka na wa wale wa kuumia wajiandae kulia.
Mbona script inajulikanaga toka last season, ikifika muda huu watatoa pesa ,wataletwa wachezaj wawili watatu watazima upepo wa kutaka wauze timu ,watabaki

Mwaka Jana si toka awali walikuwa wabishi kutoa €40m kwa Anthony na wakijivutavuta kwa FDJ , walipowashiwa Moto , wakatoa €70m casemiro na €100m kwa Anthony,na mkaufyata mkia

Sasa hivi watatoa pesa anasajiliwa Hojlund na onana ,wakati mnafurahia ndio muda huo huo wanatangaza timu ipo mikono salama

Hii script mbona inajulikanaga
 
Wapo wengi nakupa mfano , Fergie,Wenger ,even hata Pep Hawa walikuwa complete package akimuona mchezaji wote mnaweza mkataa ila yeye anaamini atakuwa hivi, mwisho wote mnakubali

Sio mara zote wanapatia ila mara nyingi zaidi wanapatia
Ni sajili ngapi ambazo alisajili Fergie, Guardiola na Wenger zilifeli ?
 
Mbona script inajulikanaga toka last season, ikifika muda huu watatoa pesa ,wataletwa wachezaj wawili watatu watazima upepo wa kutaka wauze timu ,watabaki

Mwaka Jana si toka awali walikuwa wabishi kutoa €40m kwa Anthony na wakijivutavuta kwa FDJ , walipowashiwa Moto , wakatoa €70m casemiro na €100m kwa Anthony,na mkaufyata mkia

Sasa hivi watatoa pesa anasajiliwa Hojlund na onana ,wakati mnafurahia ndio muda huo huo wanatangaza timu ipo mikono salama

Hii script mbona inajulikanaga
Hivi Arsenyani siku mkifika levels za kutumia €170m kwa wachezaji wawili si mtasema mnashinda Champions League kabisa.

Mnajua kabisa timu akipewa Sheikh Jassim ni miaka mingine ya mateso maana itakuwa ni United na City tu wanapokezana kombe.
 
Tyrell Malacia ruled out of #mufc's pre-season tour to the USA through injury.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230718_181158_616.jpg
 
EXCL: Al Nassr are closing in on deal to sign Alex Telles from Man United, here we go soon! 🟡

There’s verbal agreement now in place between the two clubs, waiting for the documents/check details.

Al Nassr want both Seko Fofana and Telles to join in the next days.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230718_181059_162.jpg
 
man utd |View attachment 2692188
Alex Telles doesn’t join Al Nassr on free transfer. Told Manchester United will get a fee for Brazilian LB 🟡

More clarity on the exact number after documents check today.

Exclusive news confirmed, Telles will go to Saudi league

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
BREAKING: Rasmus Højlund wants #mufc - personal terms are 100% agreed.

[Fabrizio Romano]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230718_181041_329.jpg
 
BREAKING: Rasmus Højlund wants #mufc - personal terms are 100% agreed.

[Fabrizio Romano]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2692190
Haaland mtupu.
 
Anthony Elanga has chosen his next club but it's unlikely to be Everton.

#Mail
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd
 
OFFICIAL: Jonny Evans has signed a short-term deal to enable him to take part in #mufc’s upcoming pre-season games in Edinburgh and San Diego.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Back
Top Bottom