Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii post wiki kadhaa nyuma ilibidi niipige Archive baada ya kushambuliwa sana na wadau.

Kutapeliwa kawaida hapa wanakataa wakati tulisajilu wenye potential kama Di Maria ila wakafeli why hapa kwa mzee wa spins wasikubali tu kuwa hela imeenda bure
 
Vipi humu? Kuna jipya? Sisi kule kwetu tuko bize tunashusha vyuma vya maana. Nyie je mna lolote la kujivunia?
 
Sisi Kama familia ya mpira

Kitendo alichofanyiwa Maguire pale Manchester United sio cha kupuuzwa hata kidogo, ifike mahala huyu Ten Hag apunguze mihemko yake wewe chezaji kama Maguire unamdhalilisha kisa huyo Bruno Fernandes aliyetaka kukimbia kipigo cha 7:0 kutoka Kwa Liverpool....
 
Hata asipokuwa Bruno but Varane au Casemiro mmoja wao apewe ila kumpora Maguire unahodha ni jambo jema,captain gani anakaa mbali na matukio uwanjani


Unakuta kuna unfair moment imetokea yeye anaitenga mbali huku wenzie wanajaribu kumlalamikia refa,rejea red card ya Martial dhidi ya Spurs.
 
Luke Shaw, Bruno au Lindelof
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…