Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu Mndengereko Moyes seems to have a distrust of his more creative players,you wonder a players like Shinji Kagawa,Januzaj and Fellaine were all warming the bench ??????.
thats why i want him to be sacked kabla hajatupotezea wachezaji ambae kocha mwingine anaweza kuwatuimia nimesikia tetesi lakini anataka kumrudisha kagawa abadilishane na gundogan...kwa sasa timu ambayo haina kiungo naaminini angeweza kumlazimisha kagawa acheze namba hiyo kuliko kuwatumia waingereza wenzake(i knw he is scottish) najua kagawa ni namba 10 lakini uwepo wa rooney na mata unamfanya asiwepo kabisa katika mipango ya kocha so bora acheze nane i blv hata kama sio orignal position yake ila impact yake uwanjani haiwezi kuwa sawa na cleverley
 
Ndiyo mkuu, huwa namwambia mkuu Nzi huwa haelewi kabisa. Nzi kakimbia jukwaa, Moyes aondoke anatuletea pressure tu.
 
ha ha haa!Moyes majanga sana.Nawashauri ndugu zangu wa jukwaa hili wahamie kwa muda kwenye forums za uingereza wakawaongezee nguvu wenzao hadi hili zee litimuliwe.
mi nishafanya hivyo ili sidhani kama bodi ya manchester ina muda wa kufuatilia hizo forums zinazungumza nini what they know choosen one kachaguliwa na SAF na SAF kasema itakuwa ni upuuzi man u wakimfukuza Moyes,so hawataki kumuangusha babu yao ambao walimkuta pale labda tushike nafasi ya kumi.maana hii ya saba inaonekana tumeizoea so haiwaathiri....
 
Ndiyo mkuu, huwa namwambia mkuu Nzi huwa haelewi kabisa. Nzi kakimbia jukwaa, Moyes aondoke anatuletea pressure tu.
lets hope rumours za kuwa replaced na van gaal after world cup ni za kweli,otherwise kombe lolote lile next season tutasikia likipita tu kwa majirani zetu kutokana na kocha wetu kutokuwa na consisntency,mpk jana moyes ameweka historia kwa mechi 40 hakuna hata mechi mbili ambazo zimefuatana akapanga kikosi sawa na alichopanga mechi iliyopita.
kwa maneno mengine unaweza ukaperform fresh alafu mechi inayofuata ukapigwa benchi kama mchezaji just kwa yeye kuaminini rtation ndio njia sahihi ya kuwafanya wachezaji wajitume uwanjani....

cc: thedon
 
Last edited by a moderator:
moyes angekuwa bongo ningemfuata na bunguki nyumbani kwake Moyes is just a disgrace to united,clueless,foolish,tactically weak. He has brought shame 2 the club Why does he stick with Cleverly while Kagawaanasugua benchi
 
Joel Campbell mwakani atakuja tena kuwapiga pale EPL!inakuaje Wenger anamtoa yule mkopo na kubaki na kina Sanogo?

Hahahaha hawa washabiki wanaojua zaidi ya Wenger na sheria za EPL ndo tunawataka ndani ya Arsenalua sio? DonDonald. Eti kwa nini anamtoa jamaa mkopo afu anamwacha Sanogo lol.
 
kutokana na kucheza chini ya kiwango katika mechi ya leo, man u tuna nini cha kujifunza ili tusikirudie katika mechi zijazo

cc: Belo
Kwangu hii ndio mechi ambayo timu ilikuwa mbovu kuliko siku zote,Olympiakos ni timu kibonde ukilinganisha na nyingine zote zilizoingia kwenye hii stage but kwa kiwango cha jana Moyes ana kazi nzito sana,timu nzima ilikuwa imechoka kuanzia mpira unaanza.Rio,Vidic,Carick,Cleverley,Rooney,Smalling,Valencia,Young walikuwa kama wamelazimishwa kucheza.Inaonekana wachezaji hawamkubali kabisa Moyes hata ukiangalia body language wanaonekana kama kila mtu anacheza kivyake.Sioni hata half time au kwenye mechi akitoa maagizo kama kuna mchezaji wanamsikiliza na kumfatisha

Kuna haja ya kuwarudisha wasaidizi wa SAF (Carlos Quirez au Rene) waje kumsaidia Moyes otherwise sioni dalili kama Moyes anaweza kuibadilisha hii timu.Management ilikosea sana kumpa contract ya miaka 6 nafikiri wangempa miaka 2 then akiibadilisha timu ndio wamuongezee
 
1517429_722467974464151_1991782232_n.jpg
 
kufukuza benchi la ufundi hilo ni kosa lake jingine,mwanzo nilifikiri anavyotimua benchi la ufundi na kuleta jipya anakuja kubadilisha mfumo wa uchezaji wa man u na kuinyroduce mfumo wake mpya,lakini mpk leo bado sijajua philosophy yake ni ipi??kama ni pasi fupifupi,mashambbilizi ya haraka na kushtukiza,ama mipira mirefu?? Sana sana bado naona anajaribu kuukumbatia mfumo wa kutumia wing na kulazimisha kupiga krosi.
Ukiacha mengine mengi mimi nilichojifunza kwamba kuna wachezaji pale man u ni wa kuuzwa kwa lazima hata kama hawataki kwa mfano smalling,cleverley na wengineo na wengine ni wa kustaafishwa kwa lazima ikiwemo giggs,na ferdinand ili wapate kusajiliwa wengineo wazuri zaidi amabao damu zao zinachemka.
 
Mail columnist Martin Samuel wrote: "Olympiakos. Not Bayern Munich or Barcelona. Olympiakos. Not master coach Pep Guardiola. Michel. Not Lionel Messi. Alejandro Dominguez. And not down to 10 men either. Unlike Arsenal and Manchester City last week, Manchester United had their full complement on the field. It just didn't look like it.
 
The Sun twisted the knife with an array of puns, from "Greek Roo-ins" on its front page to "Mousacka for Moyes -- Clock ticking after pitta-ful United's Greek tragedy" on the back, and writer Neil Custis continued the theme: "Manchester United's disastrous season was lying in ruins last night after a Champions League humiliation in Greece. Things went from kebab to worse for David Moyes as Old Trafford fans called for the boss to be sacked just eight months into his reign."
 
Former Ireland international Tony Cascarino added in his Times column: "Ever since the days when the Busby Babes made Europe sit up and take notice, Manchester United have been synonymous with a style of football that is adventurous, fast and easy on the eye. Last night against Olympiakos I could see none of those qualities. Take the club badge off their shirts and it could have been any average Barclays Premier League team. That shouldn't come as a surprise because that is exactly what United are right now."
 
mi nishafanya hivyo ili sidhani kama bodi ya manchester ina muda wa kufuatilia hizo forums zinazungumza nini what they know choosen one kachaguliwa na SAF na SAF kasema itakuwa ni upuuzi man u wakimfukuza Moyes,so hawataki kumuangusha babu yao ambao walimkuta pale labda tushike nafasi ya kumi.maana hii ya saba inaonekana tumeizoea so haiwaathiri....

Hahahhaahha, Mndengereko wewe #Ushajizoelea maskini wala huoni vibaya kukiri...
Nzi na Belo pekee ndo walobakia na imani na #DaudiMuya .

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
article-2568342-1BDAEC3800000578-324_636x382.jpg

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mo No anataka kurudi Everton .... ....
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee where is the little fly?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
article-2568243-1BD8C78F00000578-837_636x382.jpg

Maumivu yakizidi mwone daktari wa JF
Khe khe khe keh keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

article-2567779-1BD5290E00000578-17_636x382.jpg

article-2567779-1BD3EA7300000578-292_634x377.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Naona RVP analialia "wananiharibia, wananiharibia, hawanitakii mema" sijawahi kusikia au kuona mchezaji analalamikia teammates wake namna hii.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom