Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kweli chenye mwanzo kina mwisho...hivi kweli hii ndiyo MAN U ile ambayo naijua mimi au hii ni nyingine? Duuh Poleni sana watani zetu...sisi wenzenu bado tunauguza vidonda vya Bayern Munich
 
Hapa ni kuomba tupigwe la tatu, labda tukifikia kiwango hicho cha uchovu wafanyao maamuzi ndo wataona kwamba United hawana future kama wakiendelea kuongozwa na David Moyes

moyesd has overstayed in man u
 
article-2567625-1BD3E65B00000578-555_964x315.jpg



Napita tu 2 down khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hhhehhheheee...

ImageUploadedByJamiiForums1393364424.421492.jpg

Naye aliikamia gemu hii awafunge na
Kafanya kweli!!!




#MosKwito !
 
aidha utakuwa haupo serious au umeanza kuangalia mpira hivi karibuni,haiwezekani ukawa hauji kama leo kuna ucl matches zinaendelea

LOL Nilisahau kabisa, nimeamka nkaanza kuangalia TV. Inaelekea mtakuwa mnaangalia mechi za wenzenu UCL kwa muda mrefu.
 
Dm akitaka ashinde mechi inayokuja its better akampanga januza na kagawa kwa pamoja.okiendelea na mtindo wake wa kuwapendelea waingereza we are out,no discussion katika hilo.....
 
kocha ni galasa kuu,wachezaji ni magalasa wasaidizi,what im wondering dm doesnt seems to learn from his mistakes...

wachezaji hawapendi DM sema wanashindwa kumpa makavu laivu,hivyo kukosa goli kwa mchezaji mahiri,nikudhihirisha wameshamchoka.
 
Back
Top Bottom