Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,550
- 52,639
Hivi Martial akiwa uwanjani mbona Kama analazimishwa kucheza?
Yule bwana moyo wake hauko pale tena. Mtu ambae apendi anachokifanya lazima
Atafeel kama analazimishwa. Yule
Ni wa kuuza
Hivi Martial akiwa uwanjani mbona Kama analazimishwa kucheza?
Kuna sehemu nimekataa mabadiliko ya GK? Point yangu Ni Kama mabek na viungo Ni hao hao ,bado kazi ipoHalafu si ni wewe juzijuzi ulisema , Ten hag asipobadiri kipa ajiandae kufail anachokipanga?
Mpira ni ule ule naona mnapaka mafuta eti modern football!!Ukiwa unataka kucheza modern football unamchagua nani De Gea au Onana?
Hapana! Kuna vitu vimebadilika, kuanzia sheria, namna ya uchezaji, majukumu ya wachezaji uwanjani: full backs, goalkeepers.Mpira ni ule ule naona mnapaka mafuta eti modern football!!
Hapa wew ndio umeongea hoja mezani, ebu angalia mwenzio kwenye hoja zake utoto alioweka, ndio maana niliona ni ujinga anapigo za kike.Mtu kaweka hoja mezan ,unaacha kushambulia hoja ,unashambulia personality,
Anauliza kwa mabeki ukitoa Martinez , na Kiungo labda Eriksen Nan ataendana na Onana ,
Kuna ushahidi wa waz save za Degea ziliiweka au kuipa point manjesta kwenye mechi ambazo hakustahili kushinda
Onana sio best kwenye shot stopping hawapishani Sana na Kepa kwa kila kitu
Tuliona Chelsea ilivyopoteana Kiungo ,na mabeki , jinsi Kepa alivyokuwa anachezea Fimbo
Tunaenda Kuanza pre season hatuna GK, hatuna striker, kwenye kiungo tuna Casemiro tu, na beki tuna Martinez na Varane pekee alafu tunaongea kuhusu top four? We'll be luck to finish ndani ya top tenBila kusajili namba 9 tutaendelea kupigania top 4
Mkuu deal ya Onana ni almost done na pre season atakuwepo.Tunaenda Kuanza pre season hatuna GK, hatuna striker, kwenye kiungo tuna Casemiro tu, na beki tuna Martinez na Varane pekee alafu tunaongea kuhusu top four? We'll be luck to finish ndani ya top ten
Yan watu tunasajiri wacheza mpiraHuwa mnakuwa wabishi na maneno mengi ya kebehi
Tulisema hivi hivi kuhusu Anthony masebene kuwa pale hakuna mchezaji ,
Leo % kubwa mnakubali pale ulifanyika utapeli



Sasa naelewa kwanini nyumbu huwa wanahasira za karibu na wengi wao hukimbilia kujinyongaETH akiweza kupandisha viwango vya mchezaji kama sancho, anthony, mount, bissaka, martial, rashford awe na mwendelezo, bruno awe bora kama kawaida, na mabeki lindelof kiwango kiongezeke na confidence.
Then asajili onana na striker mpya, na beki mmoja wa kati....
ETH yuko makini na kila mechi anaichukulia serious.
Aongeze morali ya wachezaji.
akiongeza viwango na motisha tuna squand pana na bora kuliko timu zote isipokuwa man city tu EPL...
hao kina hamis na wengne wengi ni haters tu na maneno mengi but sisi ni bora kuliko hao 2nd wa 2022/2023 na last season overall assessment sisi tumefanikiwa kuliko arsenal lakini wao wamefanya improvement kubwa kuliko Sisi ndio maana hata wao wako excited na last season sababu ni rapid improvement walioifanya inawapa over confidence na kusema sana.
But ETH ni bora na next season ttakuwa bora sana....trust
De gea, Ronaldo cr7 na Pogba walionesha waziwazi kkutokumkubali MaguireKumbe Degea alikua anamkwepa hahahahh
Yule fala kichwa kikubwa bure kabisa
Sasa mbona tumeshika nafasi ya 3 mzee ?Sasa naelewa kwanini nyumbu huwa wanahasira za karibu na wengi wao hukimbilia kujinyonga
Nyumbu mnatimu Bora na yenye build up inayoeleweka kuliko
Brighton, aston Villa, Fulham, N. Forest,?
Butua twende tukutane mbele mmeingia top four kwa sababu ya uzembe wa Brighton
Muda ni mwalimu mzuri Sana, acha ligi ianzeSasa mbona tumeshika nafasi ya 3 mzee ?
Kama tungekua tumeshika nafasi ya 4 hoja yako ya Brighton ingekua na mashiko.
NB: Maana yangu ni kwamba kwa kuwa tulishika nafasi ya 3, zilihitajika timu mbili kutuondoa kwenye top 4, badala ya hiyo moja uliyoitaja.
Kama yeye huyo Brighton kweli angekua good enough na kushika nafasi ya 3, basi sisi tungeshika nafasi ya 4 (still in top four) maana tulimzidi Newcastle points (tungemsogeza namba 5).
Vinginevyo njoo utaje wazembe wengine wote waliosababisha sisi tumalize ndani ya nne bora.
Hadi utakapofanya hivyo, acha kumuonea (kumbebesha zigo) Brighton.
ETH akiweza kupandisha viwango vya mchezaji kama sancho, anthony, mount, bissaka, martial, rashford awe na mwendelezo, bruno awe bora kama kawaida, na mabeki lindelof kiwango kiongezeke na confidence.
Then asajili onana na striker mpya, na beki mmoja wa kati....
ETH yuko makini na kila mechi anaichukulia serious.
Aongeze morali ya wachezaji.
akiongeza viwango na motisha tuna squand pana na bora kuliko timu zote isipokuwa man city tu EPL...
hao kina hamis na wengne wengi ni haters tu na maneno mengi but sisi ni bora kuliko hao 2nd wa 2022/2023 na last season overall assessment sisi tumefanikiwa kuliko arsenal lakini wao wamefanya improvement kubwa kuliko Sisi ndio maana hata wao wako excited na last season sababu ni rapid improvement walioifanya inawapa over confidence na kusema sana.
But ETH ni bora na next season ttakuwa bora sana....trust
7hag hajui how to unlock Sancho TalentHuyu Sancho akija Arsenal atakiwa bonge la wingerView attachment 2682775
Ukiachana na Sancho hao wengine nawaona wakimaliza mikataba yao iishe ndio waondokeHuyu Sancho akija Arsenal atakiwa bonge la wingerView attachment 2682775