hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Sidhani Kama wana chuki, Mount amefanya vzr sana pale alipocheza juu ya viungo wawili Kante na Kova au kante na Jorginho ,chini ya Tuchel akimuweka juu na Kai kwenye mfumo wa 3-4-2-1/3-4-3Caicedo na Mount Mount ana vikombe vitatu Caicedo ni 6,8 na RB wakati Mount ni 8,10 na winger.
Mnachuki zisizo na aibu sana baadhi yenu.
Mount Kama winger hakuwa na madhara yoyote ,Kama no.8 ambapo anacheza Eriksen kwenye double pivot ,mount hakuwa na impact hasa kwenye kusidia defending,
Potter kila alipokuwa anamchezesha no.8 kwenye double pivot ,Chelsea ilikuwa inakuwa dhaifu Sana
Tusubiri tuone ETh atamtumiaje

