Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Kwenye matumizi ya pesa wakulaumiwa ni Murtough. Walikuwa na nafasi ya kumsajili Antony kwa bei rahisi ila walitumia dirisha zima kumfukuzia De Jong, dk za mwisho ndiyo wakashtuka na Ajax wakagoma kuuza kwa kuhofia replacement ndiyo maana wakakubali £82m.Dirisha kubwa alipewa £211m(€245m) ,akatapanya akijua man u Ni kisima Cha Pesa ,akatoa €100m kwa yule Anthony ,€70m kwa Casemiro ambaye hatuna uhakika Kama atadumu msimu huu kwa kiwango kile kile sababu ya umri ,
Alifanikiwa japo naonaga Kama bahati kumpata Lisandro Martinez ,maana connection ya van der sar , plus maamuz ya mwisho ushawishi wa pesa maana Arsenal tulikuwa tumchukue kwa €50m tu, ila sababu alikuwa na mzigo wa £200m+ alitoa nearly £62m(€70m),fair enough huu Ni usajili bora
Hiyo pesa angeweza kusajili young GK,CB,RW na DM ambapo dirisha hili angeimarisha attacking na sehemu chache , Sasa alijua Kuna pesa za kuchota , January wakamkaushia , dirisha la Sasa tetes zilianza man u isipoingia UCL ,bajet itakuwa finyu , now imeingia but Kuna number kubwa ya wachezaji wenye wage Bill kubwa , lazima waondoke waje wapya
Kwahiyo kwasasa ajifunze matumizi mazuri ya pesa
Kwasasa achague moja
CF lakin ampe mkataba Degea au
Onana lakini no CF
Au auze waliopo abane apate CF plus new GK
Antony siyo usajili mbaya, bado ni raw talent. EtH anahitaji tu wamiliki na wasaidizi wenye akili. Hata Arteta anatapatapa tu afadhali msimu huu kapewa fungu la kueleweka, bila Denver Nuggets kuwa bingwa NBA mngesajili wachezaji wenu wa mafungu kama kawaida.