Acha upumbavu kuna Waholanzi wangapi kawasajili zaidi ya Malacia na VDB ambaye kamkuta na anakaribia kusepa.
Hata akiwa Ajax alikuwa hana kawaida ya kutumia Waholanzi kwenye first 11 yake ukikuta wengi ni 3/4.
Ni changamoto ya timu yetu kukataliwa na kila wachezaji ndio inasababisha hivyo ushawishi hakuna tena
Nataka tu niseme kitu kimoja utafiti wangu unaonesha mashabiki wa United wanaomchukia Ten Hag ni mashabiki wa Ronaldo bado wanaumia namna GOAT wao alivyoshikishwa adabu

So nenda kalie mwehu wewe hama timu kama hutaki kumuona ETH hadi pale atapofukuzwa ndio urudi.
Mashabiki wa United wanaojua mpira wanaelewa impact ya ETH nyie plastic fans kashabikieni rede tu au mfuateni jamaa yenu Al Nassr